Sasa Unatafuta Mapic za nyumba Moja Moja ndio Ujitishe Falaii... NIKISEMA za Kisii Utakimbia.. Aty city? [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hii ni tanga my friendππππ baadhi ya maeneo
View attachment 791125 View attachment 791126 View attachment 791127 View attachment 791128 View attachment 791129 View attachment 791130 View attachment 791133 View attachment 791135 View attachment 791136 View attachment 791137 View attachment 791138 View attachment 791139
bus stage tangaππππππ
RIP kisii leteni nyingine sasa ππππππππ na hapo sijakusa kwenye hotelsSasa Unatafuta Mapic za nyumba Moja Moja ndio Ujitishe Falaii... NIKISEMA za Kisii Utakimbia.. Aty city? [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ulibeza,dhafra umeanza kuogopa.Sasa Unatafuta Mapic za nyumba Moja Moja ndio Ujitishe Falaii... NIKISEMA za Kisii Utakimbia.. Aty city? [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hayo yote haijalishi. In its current state, Tanga haifai kuitwa city hata kidogo. it's far from being called a city. Kwa upande wa planning hilo ntakubaliana nawe. It's well-planned than any town in tz, dar included ila kuitwa city hapo sujui mlitumia which guidelines. Tanga ni ndogo sana for a city status. Hata Nakuru sio city huku kwetu but ni kubwa tena imeendelea kushinda Tanga mbali sanaTanga ilikuwa planned kuwa jiji la viwanda toka enzi za wajerumani na viwanda vingi vilikuja kufa wakati wa ubinafsishaji. Ukiangalia jinsi Tanga ilivyopangwa huwezi kuamini na watu wakianza kubadilisha nyumba zao kuwa maghorofa kama walivyofanya kariakoo utashangaa.
[emoji2] [emoji2]Real estate ya nai ni mature already....nyinyi ndio mnaanza kujenga..wengine city zao zishajaa already.
hahhha hawa hua wanachekesha sanπππUlibeza,dhafra umeanza kuogopa.
Hayo magorofa matatu ya kisii ndio yalikupa kiburi ama kitu gani!!!!!!!
hasa kama wakenya unataka tukusaidie nini.......Lakini Ujue Wote Ni Wakenya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akimaanisha mpaka Barack Obama ni mkenya pia.hasa kama wakenya unataka tukusaidie nini.......
Mnatumia bidhaa kibao tu za Azam, nying sana, nyingi mno
Alafu mbona unaleta kampuni za Serikali wakat tunajadili kampuni binafsi??
Nenda Mombasa.kuzurula sio ushamba.guys, am speechless! does anyone know what Azam is in Kenya???
Hio ni ile Modern Mall of east Africa Hapo nyuma? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Azam naskia ni Meli natena ni Tv huko Tz[emoji23] [emoji23] [emoji23]guys, am speechless! does anyone know what Azam is in Kenya???
punguza mihemko na hasiraππππHio ni ile Modern Mall of east Africa Hapo nyuma? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]