safi kabisa kawachana wenzakewasee wa kulala bedsitter someni ujumbe huo toka kwa mkenya "mwenzenyu".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 790388
hawana akiliwewe sikiliza mziki mzuri achana na kiswahili cha diamond, after all hakuna mkenya anayeweza kuelewa kiswahili cha diamond platnumz. his kiswahili ili classic.
kuna siku nikiwa kwa matatu zenyu hapo nairobi, nikasikia "despacito" ya luis fonsi
ikipigwa kwa matatu.unataka kuniambia majority ya wakenya wanaelewa spanish?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yadhihirisha ni jinsi gani ulivyo chizi wacha tukucheke[emoji2] [emoji2]Sasa ju Una spin Nexus Unajiona mnoma sana nkt!! Acha nimade Campus Hii ntakuuzia.. View attachment 790466
[emoji2] [emoji2] [emoji2]hakuna gari zaidi ya pro box😀😀😀
[emoji867] [emoji867] [emoji867] Get Lost Skunck[emoji2] [emoji2] [emoji2] yadhihirisha ni jinsi gani ulivyo chizi wacha tukucheke[emoji2] [emoji2]
State Of Unity... We are now Stronger than Ever sijui 2020 Mtasemajestate of corruption
Ichogal was on the fore front expecting us to slaughter each other, shock on him[emoji23] [emoji23]State Of Unity... We are now Stronger than Ever sijui 2020 MtasemajeView attachment 790819View attachment 790820
Hahaha....yani tanga ni city. Tanga hata kwa kisii ni ndogo sana. Yani kule tz kila town ni citytanzania ina majiji sita sasa hvi
dar es salaam
mwanza
arusha
mbeya
tanga
dodoma
Yani Dar ukipiga picha from any angle lashima camera ishike those three blue buildings. Alafu ona vile hiyo sehemu huyo jamaa amesimama ilivorust yet it's only a walking distance from those towers meaning haiko mbali na cbdThe three blue buildings
Yani Dar ukipiga picha from any angle lashima camera ishike those three blue buildings. Alafu ona vile hiyo sehemu huyo jamaa amesimama ilivorust yet it's only a walking distance from those towers meaning haiko mbali na cbd
aisee nilicheka sana kusikia ati Tanga nalo pia ni jiji [emoji23]Hahaha....yani tanga ni city. Tanga hata kwa kisii ni ndogo sana. Yani kule tz kila town ni city
Ungejua Buildings zinajengwa Kenya sahii sijui by 2020 utajitetea ajeMzizima tower A ..Naona karibia cladding inaanza
View attachment 790836
Hahaha....yani tanga ni city. Tanga hata kwa kisii ni ndogo sana. Yani kule tz kila town ni city
aisee nilicheka sana kusikia ati Tanga nalo pia ni jiji [emoji23]