Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ndio nyumba za watu masikini dar,I mean nyumba zao.

Sijui utatumia akili gani kuwaweka sawa na ndugu zako 900k Wa kibera.
Sasa kama unakubali kwamba hizo ndo nyumba za watu masikini Dar and the same time pia mnakataa hapo sio Dar mbona hamueleweki? You people are so full of contradictions! Halafu iweje leo Kibera haina 2.5 million people? Mnachekesha kweli
 
Mimi naamini nachart na mtu,sio mbuzi.usitake niamini vingine.

Embu rudi kaanze kupitia swali kwanza kabla ya jibu,inawezekana umesahau uliuliza kitu gani.

Kwani kibera si mnasema ina aparment za maana pia???
 
Umekamata makende zao hawapumui....Looking at these houses, I doubt if it takes more than Ksh150,000 to construct one...Halafu unasikia mwanaume akiringa hapa ndani vile wao wamejenga nyumba Dar
Nawangoja waje hapa nilete mapicha za Jangwani, Tandale, Mbagala etc nione wakipinga
 
Mimi naamini nachart na mtu,sio mbuzi.usitake niamini vingine.

Embu rudi kaanze kupitia swali kwanza kabla ya jibu,inawezekana umesahau uliuliza kitu gani.

Kwani kibera si mnasema ina aparment za maana pia???
Sisi tushakubali kuna slums Nairobi but nyi hamkubali kuna slums dar
 
Mimi naamini nachart na mtu,sio mbuzi.usitake niamini vingine.

Embu rudi kaanze kupitia swali kwanza kabla ya jibu,inawezekana umesahau uliuliza kitu gani.

Kwani kibera si mnasema ina aparment za maana pia???
Wacha kusema maneno ambayo umetoa kichwani. Kibera haina apartments coz ni slum. Nataka tukubaliane kwamba ile picha ilileteletwa hapa ni ya Dar
 
Use google image search utajua ni wapi. Utakua mkaazi wa kijijini hata mjini hujakanyaga maana hujui jiji lenu kubwa zaidi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mimi natoka kijijini,sijui kutumia Google embu fanya nifahamu hapo ni dar sehemu gani.
 
Wacha kusema maneno ambayo umetoa kichwani. Kibera haina apartments coz ni slum. Nataka tukubaliane kwamba ile picha ilileteletwa hapa ni ya Dar
So hesabu za 2.5ml ziendelee,OK.

Pale sio dar.
 
Mimi natoka kijijini,sijui kutumia Google embu fanya nifahamu hapo ni dar sehemu gani.
Kama umetoka Kijijini huwezi elewa. Chenye naweza kueleza, kaa ukijua siku utafika Dar utaishi nyumba kama hizo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Utaskia wakisema ati izo ni picha za madhareπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuna zingine hadi wanasema ni za Congo na Sierra Leone! Wabongo ni watu wa ajabu sana...Nashangaa mbona wanajigamba hapa vile wako na nyumba Dar, eti wao hawapangishi. Kama hizo ndo nyumba wacha tu ikae
 
Nimegoogle dar es salaam slums,angalia majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…