Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanadhani Dar ni CBD, Kariakoo, Masaki, O'bay, Upanga, Kijitonyama na Mikocheni pekee.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
leta link unajifanya wewe mjanja sana leo nataka kukuonesha kwa macho kwamba hapo sio dar na ntakuonesha hapo ni wapi
 
leta link unajifanya wewe mjanja sana leo nataka kukuonesha kwa macho kwamba hapo sio dar na ntakuonesha hapo ni wapi
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
 
Watoe wapi? Ulitegemea ianguke chini kutoka mbinguni? Hahaha
tafua link msaidie mwenzio leo nataka nizae na mmoja wenu humu ndani live bila chengaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
makwambia leta link kua hapo dar alaf nitakuonesha hapo ni wpi hehehe munajifanya wajanja sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
walikuwepo wenzako walioleta picha za sieralione wakasema dar na tukawaumbua humu ndani
 
Hehehe...The Hawaii of Africa!!! if Hawaiians see this, they can even sue you for defamation. Mnashangaza sana. I can see lots of dream houses here. By the way mbona siku hizi hamelangi zile dream houses?
 
Hehehe...The Hawaii of Africa!!! if Hawaiians see this, they can even sue you for defamation. Mnashangaza sana. I can see lots of dream houses here. By the way mbona siku hizi hamelangi zile dream houses?View attachment 784303
hapo ni jangwani hio picha ni ya zamani sana na hzo nyumba zote zishabomolewa na subiri nikuletee ushahidi na huo ni mto msimbazi pembeni
 
Ichoboy, next question please
This is Kenyatta Stadium in Machakos town. Huu ni uwamja wa pili tumeleta
 
Wacha niwape picha zaidi za Dar is slum ndio waikane kabisa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Namngoja aje akatae hizi pia. Wanasema eti hawana picha za sehemu zingine za Dar.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Don't try so hard to disapprove that Dar is a slum city by bringing us random photos. Dar is a slum and that will never change
hutaki ukweli au huo ndio ukweli hzo nyumba zote zilibomolewa na sasa hzi pako open hapo pembeni ya mto msimbazi kama hutaki acha sikulazmishi kuamini
 
Kwa wale wanaokana Dar es Salaam ndio hiyo kutoka Google maps.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…