NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Yaani hawa jamaa ni wa kuhurumia. Ukiwaambia 5* Hotel Dar ni tatu hawataki kukubali. Ukiwaambia haya walete zingine wanakuletea vituko.πππEnyewe look at that ka small window next to the hotel logo with green and white colors. What's that ugly window meant to do in a 5* hotel? hehehe Mabati zimebondwa halafu imerust. Kweli hii naona ni 5*
Hahaha nimeikumbuka. Halafu nyengine ni kama lodging katikati mwa slums.ππHii nayo ilinichekesha walai. hehehehe...halafu there was another inakaa an aprtment block kule maeneo ya eastlands. Hizo mbili plus ile hong kong zilinichekesha sana
Naona umeshika makende yake. Finya kabisa hadi itoe mafuta. I told you these guys are very good at vita vya mdomo (cold war). Ukiwaleta kwenye uwanja wa vita hakuna wanachojua. They are only good at noisemakingNilikwambia wewe unayejiita Computer expert jifunze kutumia Computer. Kwa Google guide kuna customer rating (those stars) na professional rating ya Hotel (imeandikwa hapo chini ya customer rating). Hiyo professional rating ndio tunayoangalia. Customer rating ni mtu binafsi. Angalia hapa.
View attachment 783543
Cha kushangaza ni wewe uliyekua ukilia humu eti tuangalie google kuconfirm rating ya Hoteli, ulipoona Google imetoa ukweli sahii unatapatapa ukisema eti haiko valid. Leo utalia tuu.πππ
Cha kushangaza nilipowaambia 5* hotel Dar hazipiti tatu wakaniambia zipo kushinda Nairobi nikitaka niende Google. Nimewaletea Google kwamba Nairobi zipo 19 na Dar 3 wanasema eti hizo ni ratings za local guides. Jamaa amesign up as a local guide anajiona mtu wa maana sana eti sasa ananieleza yeye kama local guide ndiye anayeelewa haya mambo kumbe ni mbumbumbu tuu. Jamaa hajui local guide guide is just anybody who chooses to review something on google. Watu washamba kweli.πππNaona umeshika makende yake. Finya kabisa hadi itoe mafuta. I told you these guys are very good at vita vya mdomo (cold war). Ukiwaleta kwenye uwanja wa vita hakuna wanachojua. They are only good at noisemaking
Kabla twende mbali saana wacha niwakumbushe tuu.
Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff
Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel
Ukiwa na shillingi mia tatu ya Kenya, unapata shimo ya kuingia hapo koinange street. Kwa hivyo, hiyo isikutatize πwanaonekana wengi hawana wanawake... sasa ukiwa jobless huyo demu utampata wapi??
Na requirements zenu ni kama hizi.Kwiwkiwkiwkwi. Mnaji wekea wenyewe 5* hahahaha.
View attachment 783600
Ndiyo maana nilikueleza kila nchi inakuwa na requirement zake kijana. Hahahahaha!!!
Please remind him that a local guide can review anything local. Such a person can even review a car hata kama hajui brake ya gari inakuwanga wapi, bora tu aliona gari fulani ikipita kwa mwendo wa kasi. Ataenda Google local guide aseme vile hiyo gari ni poa. Anael, just like the name implies, a local guide is just a "local" guy without any professional knowledge on what they are reviewing/rating.Cha kushangaza nilipowaambia 5* hotel Dar hazipiti tatu wakaniambia zipo kushinda Nairobi nikitaka niende Google. Nimewaletea Google kwamba Nairobi zipo 19 na Dar 3 wanasema eti hizo ni ratings za local guides. Jamaa amesign up as a local guide anajiona mtu wa maana sana eti sasa ananieleza yeye kama local guide ndiye anayeelewa haya mambo kumbe ni mbumbumbu tuu. Jamaa hajui local guide guide is just anybody who chooses to review something on google. Watu washamba kweli.πππ
Don't you know there are professional bodies whose main duty is to rate hotels worldwide? Unajifanya sana unajua na hakuna unachojua. I can bring you one ukitakaTatizo vijana wa kenya maneno meeengi.
Sasa hapa unalialia nini sasa? Nimekuuliza maswali ya maana unaaza kulia lia.
Sasa hii rating ya customer ni nini?
Na hii ni nini?
Usilete maneno mengi hapa.
Halafu professional rating(Professional ya kitu gani? nani anayetoa hiyo professional).
Ukijibu maswali hayo twende kazi.
Huyo wachana naye. Nimejaribu kumuelimisha mara anasema hata yeye anaweza rate mara kila nchi inajiratia.πππDon't you know there are professional bodies whose main duty is to rate hotels worldwide? Unajifanya sana unajua na hakuna unachojua. I can bring you one ukitaka
Ondoa ujinaga hapa. The level of your understanding is very low. Go to school hapa siyo kibera kijana kupayuka payuka vitu usivyovijua. This is The Great Thinkers Social Media. Siyo JamiiForums.com hapa mmejazana ma mbumbumbu from kikuyu.Don't you know there are professional bodies whose main duty is to rate hotels worldwide? Unajifanya sana unajua na hakuna unachojua. I can bring you one ukitaka