Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona kijana wa Nairobi. Ameanzisha thread. Hii nidhahili hawa jamaa tumewashika vibaya sana wanatapa tapa tu. Mimi nimempuuza tu maana hiyo thread itajifia yenyewe. Anatafita attention yani jama kama mtoto. Hawezi kuvumilia maumivu.
 
wamesahau waziri wao najib balala alichozungumzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeona kijana wa Nairobi. Ameanzisha thread. Hii nidhahili hawa jamaa tumewashika vibaya sana wanatapa tapa tu. Mimi nimempuuza tu maana hiyo thread itajifia yenyewe. Anatafita attention yani jama kama mtoto. Hawezi kuvumilia maumivu.
hehhe kakimbia hapa kakutana na kibano cha kisawasawa hapa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawaiwez dar kwenye hotel ..yule tourism officer wao cjui minister c alishawaaibisha[emoji23]
anaitwa najib balala waziri wao wa utalii aliwaambia kua wanashindwa utalii kwasababu wana hoteli za miaka 40 iliopita wakat tanzania kuna modern hotelsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na bado mawe ya moto yanakuja Kutoka Dar
This year
Rotana hotel 5star
City Lodge hotel kama sikosei 5star if not 4
Morocco Square Hotel 4star
 
Sasa tukiongea zenye ziko njiani ata usitaje na zote ni international brands kama
Marriott's 35flrs u/c( avic hotel)
Hilton 45flrs u/c pinnacle tower 2
Na zingine mingiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…