Inamaanisha hamna 5 star hotels huko maana hizo ndio umekua ukipost.πππ
endelea kurudia picha basiπππNadhani kwa sasa kidole kimekuingia kabisa leo uzi mtamu hadi rahaππππ
Hizi ndio unaita za uso? Kama hizi ni za uso za matako zitakuwaje?πππππMnaongea sana vijana wa kenya. Unaongea sana action zero.
Nimekupiga za uso uso sasa hivi unawaya waya tu. Umeishiwa kijana.
Nkt! Hii ni nini sasa... Kibanda? Ama? [emoji23]ABC Travellers Hotel - Dar es salaam
ABC Travellers Hotel - Dar es salaam
Hizi ndio unaita za uso? Kama hizi ni za uso za matako zitakuwaje?πππππ
Anadharau Radisson Blu na anatupostia huu uchafu?ππππSikieni fala flani anadharau Radison Blu. Mtu kama huyu tutamfanyaje?
Hapana, 5 star ndio hii.ππππKwahiyo hii ndiyo 5 star. Kwikwikwikwikwi
hehhee umemaliza kulia maana mchana umelia sanaπππππHoteli gani iko na junk food KFC kwa ground floor?
Toa uchafu. Hilo ni jengo multi-purpose wala si hoteli pekee yake. Majengo kama hayo yamejaa Nairobi.