Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro pole bana usiumie sana.

Mnapojenga Yale ma 8 lanes na ma outering mnafanya kukumbuka na humo streets kwa CBD.

Dar INA mapungufu yake lakini Nairobi haina uwezo tena wa kuisahihisha.
Hizo picha sio za cbd. Hizo ni estates. Najua Dar mko na estates ndani ya cbd ila hayo sio mambo ya nairobi. Huku kwetu cbd ni pahali pa kuchaba kazi kisha tunaenda zetu estate.
 
subiri basi nikuoneshe twende taratibu acha hasiraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwanza umekosa neno slum kwenye google earth hahah
 
It's a matter of pure nomenclature.
In Kenya we don't sugar-coat. If it's a slum, we call it that.
Dar is 90% made up of slums lakini hamuongezi suffix 'slum'. Doesn't mean they don't exist.
uhahaha umekosa neno slum kwenye google earth πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ so umeamua kulia tu
 
tuletee ushahidi google earth kwann unalia sasaπŸ˜€πŸ˜€

In Nairobi, 90% of the land area is somewhat organized. The slums take less than 10%.
In Dar, the slums take 90%, the organized estates less than 10%.

Organized housing in Nairobi (outside the CBD).



 
Achana na hawa vilaza. They think that Nairobi is a disorganized city like Dar aka uswazi.
 
This is the true image of Dar es Sluuuuuuum

Upinduke kushoto - slum
Upinduke kulia - slum
Mbele - slum
Nyuma - slum

 
It's a matter of pure nomenclature.
In Kenya we don't sugar-coat. If it's a slum, we call it that.
Dar is 90% made up of slums lakini hamuongezi suffix 'slum'. Doesn't mean they don't exist.
In their stupid mind they think that words on Google earth are written by Google itself. These names are by residents of these places.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…