Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona umekamata vyema kwenye makeiπŸ˜€πŸ˜€
Hawa jamaa hawajiamini kabisa. Wanaleta taarifa za uongo. Huwezi kumuona mtanzania analeta taarifa kama hizo za uongo.
 
heheh kuna mwingine alileta slums za sieralione akasema dar yani hawataki kuamini kama dar hakuna slumsπŸ˜€
Wanatamani sana Dar es salaam ifanane na wao. Lakini hicho kitu hakiwezekanai.
 
nairobi pekee kuna worse slums zaidi ya 25 heheh na zote ni heavy slumsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
And who told you that Dar will ever be like Nairobi. Nairobi is a respected regional hub while Dar is a glorified fishing village. Nairobi is the financial, economic, educational and political capital of east and central Africa. The number of multinational companies and UN agencies with their regional, continental and global headquaters in Nairobi is a clear manifestation of that. Don't ever imagine that Nairobi is playing in the same league as Dar; it will NEVER happen. Lanes please
 
hahhaha yani nairobi kufika sehemu dar ilipo inaeza wachukua 30yrs my friend utake usitake nilitegemea kwanza mupambane na slums pamoja na unemployments kwa vijana vitu ambavyo vinapunguza security ndani ya nairobi na nairobi hakuna security kwasababu vijana hawana ajira, hamutaku kuambiwa mambo ya msingi munaenda jenga 8 lanes mukasahau kuna kitu inaitwa BRT leo munshtuka munaanza kutoa povu kubwa bila aibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mukajua BRT ni kama kula bajia tu
hzo number multinational companies hazijapunguza ajira hata 2% yani huwez kunambia unemployment rate is 40% alaf unajisifu na multinational companies
 
Naona dawa imekuingia vizuri sana ukaamua kutoa povu ndoo nzima. Respect your elders. Nairobi sio rika ya hicho kijiji chenu cha uswazi
 
Naona dawa imekuingia vizuri sana ukaamua kutoa povu ndoo nzima. Respect your elders. Nairobi sio rika ya hicho kijiji chenu cha uswazi
maana hamupendi kuongelea mambo ya msingi yanayomgusa kila mkenya yani unaongelea multinational companies na hazikupunguza unemployment rate even by 2%, out of 50million kenyans 40% unemployed alaf unaongelea multinational companies we mzima kweli, hata jana sikuamini nilipoona even turkana wind project kumbe ni ya mzungu na atawauzia umeme wakenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
These are what your useless government has fed in their attempts ro paint a bad picture of Kenya. No wonder you guys follow Kenya's affairs like your last breath depend on it. We were comparing Nairobi and uswazi aka Dar ndo maana nikataja mambo niliyoyaja but yaonekana ngoma imekuwa mzito kwako ukaingia maswala ya kenya keupuka haibu. When you are ready to debate on matters Nairobi and Dar is slum, niambie. Ukitaka tuongee mambo ya kenya pekee pasi na Nairobi, fungua thread kisha uniambie. Adios
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…