Hapana mimi sijasema Dar ina skyscrapers tatu. Mimi nimemwambia Mulisaa kwamba Nairobi haina skycraper moja. Mulisaa huwa anapenda kusema Nairobi ina skycraper moja 😀😀😀😀. Na hilo ni uongo mtupu
Endelea kujipumbaza
Sawa nimeelewa. Wacha wamenyane. Mimi humo simo.Hilo huwa ni jibu kwa wakenya wanaosema dar kuna 3 blue heights.
kabisaa ila kwanza inabidi tumchape viboko mbele ya court huku uhuru akishuhudia[emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyu engineer inabidi anyongwe😀😀
Kwani ni uongo?😀😀😀Hilo huwa ni jibu kwa wakenya wanaosema dar kuna 3 blue heights.
Kisha achimbe kaburi yakekabisaa ila kwanza inabidi tumchape viboko mbele ya court huku uhuru akishuhudia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jamani. Ni uongo mtupuKwani ni uongo?😀😀😀
Kwani ni uongo?😀😀😀
Jamani. Ni uongo mtupu
Sawa wacha tuioneNimemuagiza picha.
swadakta.........maana huyo jamaa dunia inampita analeta ujenzi local kwa wananchi anacheza na roho za raia..Kisha achimbe kaburi yake
Ndio hivo mkuu. Kisha kifo chake kifanywe live kwenye runinga kuu zote nchini ili iwe funzo kwa Engineer bandia wote popote walipo, wasiwahi jaribu kujenga banda la kuku kama hili tena.swadakta.........maana huyo jamaa dunia inampita analeta ujenzi local kwa wananchi anacheza na roho za raia..
Kwani ni uongo? Ni mara ngapi kwa siku mnaletanga hizo three shiny blue towers?Hilo huwa ni jibu kwa wakenya wanaosema dar kuna 3 blue heights.
waambie na wenzako pia😀😀😀😀Enyewe Ichoboy hata mimi nakubali hilo jumba libomolewe mara moja. Hatutaki Wakenya wapoteze maisha yao.
Kwani ni uongo? Ni mara ngapi kwa siku mnaletanga hizo three shiny blue towers?
punguza uongo 😀😀😀Kwani ni uongo? Ni mara ngapi kwa siku mnaletanga hizo three shiny blue towers?
sema ni zuri sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] hongera kwa engeneer[emoji112] [emoji112] [emoji112]Ndio hivo mkuu. Kisha kifo chake kifanywe live kwenye runinga kuu zote nchini ili iwe funzo kwa Engineer bandia wote popote walipo, wasiwahi jaribu kujenga banda la kuku kama hili tena.
sema ni zuri sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] hongera kwa engeneer[emoji112] [emoji112] [emoji112]
yaani katisha sana.......kiasi cha kwamba hata mgonjwa akiumwa kisha ukampeleka alale kwa hilo jengo anapona papo hapo...Archtech wa Kenya ni fire.