Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha jamaa unalia sana. Wewe ndio ulianza debate ya comedians sasa umeanza kutoa machozi. Siku nyingine usiwahi post vipicha vya magari vya wasanii wenu, kama hutaki kulia tena ichoboy
endeleeni kupost picha za magari ziko ulaya na uarabuni hehehehe nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakat sisi tunawaonesha za hapa hapa bongo
 
Sasa kwanini useme dar es salaam iko nazo tatu au ni kujipumbaza!!!!
Hapana mimi sijasema Dar ina skyscrapers tatu. Mimi nimemwambia Mulisaa kwamba Nairobi haina skycraper moja. Mulisaa huwa anapenda kusema Nairobi ina skycraper moja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Na hilo ni uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…