NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Modern Architecture............
Amesema alikuwa KDF. Nashangaa huko ni wapi NairobiUnajua nairobi wapi wewe
Ebu nipe direction: ukitoka eastlands kwenda tao unaweza tumia njia zipi?Nimekaa Nairobi two years dogo. Kenya nimekaa zaidi ya miaka 3.
Wewe yaonekana ulikaa Nairobi mahali panaitwa Mwananyamala kwa uswazi.Siwezi kukuambia sehemu nilizokaa. Unatakiwa ujue we know you mpaka mnavyoenda chooni.