Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #92,901
Mnajifanya humu eti mna mashamba kumbe hamna kitu. Kazi ni kuiba picha mitandaoni mkisema ni zenu.😀😀😀
Ebu angalia huyu mkulima alivyonona.
View attachment 779252
Linganisha na Annael alivyokonda 😀😀😀😀
View attachment 779254
Sisi bongo tunaliama nyie njaa inawaua