Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwikwikwikwikwi. Foleni la kufa mtu





Wewe kilaza ungefanya vizuri zaidi kama ungeleta angalau barabara moja kutoka Dar inayofanana na hizo barabara tatu hapo juu. Utaonekana mjinga wa mwisho ukidharau za wengine wakati wewe hauna hata robo ya unachodharau. Inasikitisha kwamba ulichokiona wewe ni foleni lakini hiyo accident iliyosababisha foleni haujaona. Mbona huo upande wa kushoto hauna foleni? Mbaazi ikikosa matunda.....
 
Mbona povu zito hivi rafiki!!?
Haya basi hii hapa






Hesabu sasa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…