Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaaaa. Nmecheka mpaka nikaanguka. Yaani hawa wasee hawajui kuna livestream YouTube. Citizen iko live YouTube 24/7
This caught them by surprise. hahaha...Hawajaamini hadi saa hii kwamba YouTube iko na livestream. Halafu unasikia wakituita washamba. Nyani kweli haoni kundule
 
This caught them by surprise. hahaha...Hawajaamini hadi saa hii kwamba YouTube iko na livestream. Halafu unasikia wakituita washamba. Nyani kweli haoni kundule
Hawaelewi. Tusiwablame bure. Tunawaelewa na penye wanatoka pia...
 
Ati wanalinganisha Azam na Citizen TvπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Angalia followers
Watanzania mtaacha bangi
Sasa ebu ongeni kuhusu internet accession
 
Annel na Kadoda 11 kujeni mwone iiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata NTV, KTN na K24 zimeshinda iyo Azam yenyu... Don't ever again bring mambo za internet hapa hivi
 
Kwanza huyo hakuna kenye anajua hata moja...Ama alifanya computer studies form one and two akadhani amefikaπŸ˜€πŸ˜€
Hahaaa. Hiyo ni ukweli kabisa. Alisoma comp high school so anadhani amefika
 
Annel na Kadoda 11 kujeni mwone iiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kijana kuwa makini. usije ukaliamsha dude halafu ukashindwa kulituliza.

discussion kuhusu azam tv kati ya wakenya na sisi watz haijaanza leo,ilianza rasmi early last year(2017).

na siku zote wakenya tumekuwa tukiwaacha na maumivu makali inapofikia discussion za azam tv.

embu nionyeshe tv yoyote hapo kenya yenye facilities kama hizi.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
modern OB truck (installed with HiTech digital broadcasting facilities)

luxury OB bus No.1 (installed with HiTech digital broadcasting facilities)

luxury OB bus No.2 (installed with HiTech digital broadcasting facilities)

OB vans
 
Before nikujibu ii tukubaliane kuwa mambo ya internet bado mko nyuma ya kenya tena mbali sanaπŸ˜€πŸ˜€
 
Before nikujibu ii tukubaliane kuwa mambo ya internet bado mko nyuma ya kenya tena mbali sanaπŸ˜€πŸ˜€
nionyeshe tv yoyote kenya inayoweza kushindana na azam tv katika umiliki na uwekezaji wa modern broadcasting facilities.

usiponionyesha nitajua wewe ni kilaza kama vilaza wengine wa kenya niliowahi ku argue nao hapa jf.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi ndo huwa mnachange topic mkishalemewa...Tulikuwa tunaongelea mambo ya internet na we ushageuka kwa magari tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi ndo huwa mnachange topic mkishalemewa...Tulikuwa tunaongelea mambo ya internet na we ushageuka kwa magari tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
huwezi kunichagulia siraha ya kukupgia.

katika ulimwengu wa propanganda ya vita ya kiuchumi,siraha yoyote hutumika kumshambulia adui.

na mara nyingi siraha yenye madhara makubwa ndio huwa inatumika zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
No its a question and an answer not question and a question...So nijibu ile kwanzaπŸ˜€πŸ˜€
 
How many internet users in Kenya ..for Tanzania is 23 million..according to TCRA ..
 
sina mda wa ku argue na kilaza.....you need to have a back up of 10 kenyans for you to argue with me.i'm a legend in these type of discussions. [emoji23] [emoji23]
 
sina mda wa ku argue na kilaza.....you need to have a back up of 10 kenyans for you to argue with me.i'm a legend in these type of discussions. [emoji23] [emoji23]
Legend of twisting discussion ukishalemewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... Wewe hujui anything reasonable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…