Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

that was terminal 2 and not terminal 3 hapo tuelewane usine ukafkiri ile ni terminal 3...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hakuna basi limesombwa na maji hata moja maji yaliingia sehemu zinapo park zile bus kwasababu iko karibu na mto msimbazi au ndio mto mkubwa sana dar nzima, wlijenga makazi ya muda kipindi cha construction of BRT infastructures

 
We ujinga itakuuwa, unaongea hapa mingi na hakuna chenye unajua, airport doesn't necessarily mean a terminal but it starts from the landing space all the way to runways, plane parkings, garage and to watching towers and terminal
sasa hakuna sehemu imejaa maji kwenye hzo sehemu ulizotaja hapo so???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!
car parking area narudia car parking area nini usichoolewa hapo au unabisha ilinradi uonekane umejibu??πŸ˜€πŸ˜€
 
Hasira ni dalili ya kushindwa kwenye hoja. Kubali tu uwanja wenu wa ndege ulifurika maji kwa sababu hata wewe mwenyewe ushakariri kwamba ni "mambo ya kawaida sana".
nini airport so google kazi yake nn aulize swali lenye mantikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ujinga ni kujifanya unajua kumbe hujui alaf baadaye unatafuta mtandaoni kujiconsole nayoπŸ˜€πŸ˜€
hehe umekosa neno car parking sasa umeishia kulia tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maana ulitegemea wataje car parking area au sio...akili siku zote inakaa kichwani
 
ila jombaa be honest mafuriko ya Nairobi ni noma dar imetokea kimtindo..ukitaka kuamini angalia idadi ya watu waliokufa na mafuriko jijini nairobi afu fananisha na dar..
 
ila jombaa be honest mafuriko ya Nairobi ni noma dar imetokea kimtindo..ukitaka kuamini angalia idadi ya watu waliokufa na mafuriko jijini nairobi afu fananisha na dar..
hawezi kusema kwasbaabu anaogopa ukweli πŸ˜€πŸ˜€
we watu waliothirika kwenye mafuriko badala kuwapelekea chakula ma malazi wanapeleka condom
 
ulitegemea wakuandikie car parking area bogus kweli weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 769662
"...with facilities for passengers." Why have you decided to deliberately overlook that statement? just in case you didn't know, car parking area is a facility for passengers In an arpirt since it's used by passengers leaving and entering the airports so it is part of an aiport. An airport is not just about runways and terminals. Sawa mtoto wa kidanganyika
 
car parking is not a mojor factor hzo hua ni minor factors sasa kujaa kwa maji kwenye car parking area hakuwezi kusimamisha shughuli za airport hata siku moja ndio maana hakuna shughuli iliosimama so no any impact katika shughuli za airport na labda nikueleze milango ya kuingia airport iko mingi sana JNIA kuna zaidi ya 15 gates my friend
 
Nisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!
ushabadilisha swali tena asa hivi ni international airport?? sasa akujibu lipi?nini maana ya airport?? au international airport??
afu nyie wakenya mpoje??mbona mna vichwa vigumu??
 
Umebaki kutapata mara terminal one mara terminal two, sijui terminal three...Hizi zite ni kelele. About those pics above, prove to me that the first picture was taken in Nairobi or Kenya for that matter. The second pic is cleary Nairobi ila ni wapi floods imefika kwa flyover in that picture as you claimed in your earlier post?
 
sasa hutaki ukweli au?? ile ni terminal 2 na sio terminal 3 au terminal 1, yani kwa kifupi fimbo ya terminal 3 iko pale pale na haitabadilika ile sio level yenu iacheni tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so ile pic ya kwanza we umeona nn pale maziwa au?? try to be seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ushabadilisha swali tena asa hivi ni international airport?? sasa akujibu lipi?nini maana ya airport?? au international airport??
afu nyie wakenya mpoje??mbona mna vichwa vigumu??
akili yake ilimtuma kua airport zima imejaa maji kumbe ni small portion of car parking area πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na pia alidhani ni ile fimbo yao terminal 3 kumbe ni terminal 2
 
kwa hivyo licha ya kwamba JNIA is the "Biggest and most modern airport" this part of the world sehemu ya kuegeshea magari sio jambo la muhimu kwake? Yani saa hii nikienda huku JNIA na gari langu huenda nikakosa sehemu ya kupark???
Kweli ukistaajabu ya Musa.... Also, it's interesting to note that haya maji yalichagua tu parking area ya magari na kuwacha runways!! hehehe...kweli siku ta nyani kufa kila mti huteleza. Halafu milango ya kuingia airport yanahusika vipi na kufurika kwa uwanja wenu wa ndege?
 
so ile pic ya kwanza we umeona nn pale maziwa au?? try to be seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Acha kelele kijana mdogo.
Nimekuambia udhibitishe hio picha ya kwanza ni Nairobi. Hapana, sijaona maziwa ila nimeona tu mchuzi rojo rojo wa albino
 
after completion of terminal 3 ndio itakua the ultra modern terminal building in east and central africa ambayo kwa sasa iko over 70% of construction

gates ziko over 15 na kila gate ina njia ya kuingia inside the airport so usije ukadhani car parking area maji yakijaa basi hakuna operations never ever...

kwa ushauri kuelewa ni hiari yako na sio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…