Cha ajabu ni kwamba mafuriko yalipotokea Nairobi mwezi mmoja uliopita na kufunga barabara mliteremsha picha humu ndani kana kwamba Nairobi imeporomoka na watu wote waioshio ndani kufa.. Hii leo mafuriko yanafanyika Dar na kuziba uwanja wenu mkubwa wa ndege (mabat rolling mills) pamoja na mabasi ta brt na kuyaita mambo ya kawaida sana. Hayo mambo ya kawaida sana yangefanyika Nairobi mngesimama juu ya mlima kilimanjaro na kutangazia dunia nzimasasa nn unachoshangaa cha ajabu hebu sema kipi cha ajabu hapo 😀😀😀😀 sehemu zinapopaki hzo basi tena sehem yenyewe ni pembeni kabisa ya mto mkubwa sana dar nzima
But you have nor enough water, nor good modern public transport, very dirty city and full of slums, where are those millionaires to assist? Kenya ranked as 'failed state'Nairobi has 7000 dollar millionaires...
Dar has 1000
Mombasa has 900
Ichoboy still thinks their poor LDC city can compete The Mighty Nairobi metropolis. ..lol.
Tell me any Kenyan city that is dirtier than Dar is SlumBut you have nor enough water, nor good modern public transport, very dirty city and full of slums, where are those millionaires to assist? Kenya ranked as 'failed state'
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.Tell me any Kenyan city that is dirtier than Dar is Slum
team isiokua na maendeleo hehe miaka 50 hamuna hata ofisi ya kusingiziwa😀😀😀😀Unauliza walipofika na tayari ushaambiwa it's the only team in east and central Africa with a continental trophy. Nini ngumu hapo kuelewa ama ni chuki ndo zimekukaba hadi kwenye koo?
kinachoniskitisha zaidi nipale napoona mafuriko yanafika mpaka juu kwenye flyover ndipo hapo najiuliza hio infastructure munayojitapa nayo hapa kila siku haikujengwa kwa kuangalia athari kama hzo, hakuna sehemu uwanja wa ndege umezibwa ile ni parking zone tena mbali sana terminal building, na kuhusu hio sehemu inapolala mabasi hayo ni sehemu iko karibu sana na mto mkubwa dar nzima so kupatwa na floods kwa pale ni inevitableCha ajabu ni kwamba mafuriko yalipotokea Nairobi mwezi mmoja uliopita na kufunga barabara mliteremsha picha humu ndani kana kwamba Nairobi imeporomoka na watu wote waioshio ndani kufa.. Hii leo mafuriko yanafanyika Dar na kuziba uwanja wenu mkubwa wa ndege (mabat rolling mills) pamoja na mabasi ta brt na kuyaita mambo ya kawaida sana. Hayo mambo ya kawaida sana yangefanyika Nairobi mngesimama juu ya mlima kilimanjaro na kutangazia dunia nzima
hzo news hakuna hata moja imeeleza kuhusu number of millionares huyo boya kapost bila kusoma😀😀But you have nor enough water, nor good modern public transport, very dirty city and full of slums, where are those millionaires to assist? Kenya ranked as 'failed state'
unaposema "ndani ya airport" unammanisha nini haswa? What's an airport to you? Kama picha inaonyesha wazi parking lot imefurika maji, what makes you think that runway and other impirtant areas if the aiport hakujafurika? Nyinyi ni wabishi sana!!!so nioneshe picha kua JNIA ime flood ndani ya airport??? ile picha ni nje kabisa ya airport kwenye car parking zone hapo wewe unashangaa nini??? try to be serious
ukiikuta dar nitag nasubiria😀😀😀😀Tell me any Kenyan city that is dirtier than Dar is Slum
nimekwambia ni parking area and not inside the airport nikimaanisha kwenye taxiways au runways au aircraft parking areas na hio parking zone iko mbali sana na terminal buildingunaposema "ndani ya airport" unammanisha nini haswa? What's an airport to you? Kama picha inaonyesha wazi parking lot imefurika maji, what makes you think that runway and other impirtant areas if the aiport hakujafurika? Nyinyi ni wabishi sana!!!
Izo ni porojo tu za mtu mwenye anataka sifa, nitumie link ya World Health Organization ya kuprove iyo point yakoukiikuta dar nitag nasubiria😀😀😀😀
nairobi haiwezi kukosa humo hata siku moja
List Of Dirtiest Cities In Africa, Number 14 Will Shock You
Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweliunaposema "ndani ya airport" unammanisha nini haswa? What's an airport to you? Kama picha inaonyesha wazi parking lot imefurika maji, what makes you think that runway and other impirtant areas if the aiport hakujafurika? Nyinyi ni wabishi sana!!!
Airport ni nini??nimekwambia ni parking area and not inside the airport nikimaanisha kwenye taxiways au runways au aircraft parking areas na hio parking zone iko mbali sana na terminal building
nioneshe floods ndani ya terminal building ukipata nitag😀😀😀
hvi kwa akili yako yakuzaliwa inside airport kujae maji operation zitaendelea??? na lini operations zimesimam kwasababu ya floods???
Niletee picha ya Nairobi inayoonyesha cloods kwa flyover. Pili, I thought JNIA is "the biggest and modern airport in east africa". Vipi haikutengenezwa kwa viwamgo zinazoweza ku withstand vitu kama flooding? Tatu, unaposema "hakuna sehemu ya uwanja wa ndege umezibwa" unajaribu kusema kwamba this airport which is "the biggest and most modern" in this region haina parking area? Kuhusu mabasi ya brt, ukweli ni kwamba yalisombwa na maji so yanapolala bi kisingizio. mbona waliweka hiyo eneo karibu na mto? Ndo maana siku zote tunawaambia Dar haina mpangilio hata kidogokinachoniskitisha zaidi nipale napoona mafuriko yanafika mpaka juu kwenye flyover ndipo hapo najiuliza hio infastructure munayojitapa nayo hapa kila siku haikujengwa kwa kuangalia athari kama hzo, hakuna sehemu uwanja wa ndege umezibwa ile ni parking zone tena mbali sana terminal building, na kuhusu hio sehemu inapolala mabasi hayo ni sehemu iko karibu sana na mto mkubwa dar nzima so kupatwa na floods kwa pale ni inevitable
official source ziko nyingi tu na hio niliokutumia ni one among them sasa unakataa au unabisha tu😀😀😀Izo ni porojo tu za mtu mwenye anataka sifa, nitumie link ya World Health Organization ya kuprove iyo point yako
makendeAirport ni nini??
ulitegemea wakuandikie car parking area bogus kweli wewe😀😀😀😀Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
Nisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!Ichoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
Nilikuambia huyu mtu hajielewi. Kazi ni kuongea tuNisaidie kumuuliza hii swali rahisi kwa sababu kwa akili yake, parking area sio part ya airport. Vile anaongea, huenda basi hii airport yao haina hata parking area. What an "international airport"!!!!!