unasema hivo kujifurahisha au???? πbro tandale hakuna nyumba ya udongo au nyumba ya mabati nyumba za tandale ni za block πππ
ila wakenya munaishi kimaigizo
so unataka kusema nairobi kibera hakuna nyumba kama hzoππππSo muranga ni nairobi?
ama watu wote wa ushago tz wako na permanent houses?
siku ukipata kwa google earth neno slum in dar nitag bro usiacheunasema hivo kujifurahisha au???? π
90% of dar is slum imejaa nyumba za mabati πππ uswahilini yaani..... mabati yameshika kutu mpaka basi... alafu nyumba za udongo ndio usiseme... tumieni tiles kwa roof
kisha muwache kutumia kuni kwa kupikia maana ule moshi sio mzuri kwa afya
lols πsiku ukipata kwa google earth neno slum in dar nitag bro usiache
siku ukipata nyumba ya mabati dar nitagπππ
we hujui kama 70% ya gas munayotumia inatoka tanzania alaf unatufundisha sisi sasa hvi tuna connect bomba za gas kwenye nyumba za watuππ
lia kabisa πππBro hakuna mahali Dar penye density hiyo ya nyumba bila lami hiyo sio Dar...
hvi wewe unajua maana nyumba ya bati namaanisha hviπππππ wall ya nyumba inakua ni bati zunguka dar nzima huwez pata na ukipata nitag
hapo ni wapi leta ushahidi kua ni dar nasubiria kuona nyumba wall ni bati kwa dar ππππ
Hahaha..... Aty Tz commando na hats Tz hakuna vital wamewahi kanyaga.... Nkt COMANDO WA SHOWGROUND..... VITA ACHIA KDF BANA TZ HAKUNA JESHI HUKO LABDA watchmenTZ Commando
nenda kaulizie uhuru wa south africa, mozambique, zimbabwe, zambia, rwanda, burundi, uganda, malawi, congo na angola alaf uje nikufundishe vzrHahaha..... Aty Tz commando na hats Tz hakuna vital wamewahi kanyaga.... Nkt COMANDO WA SHOWGROUND..... VITA ACHIA KDF BANA TZ HAKUNA JESHI HUKO LABDA watchmen
ingia google tu. tangu lini slums zikawa na 'landmark'? wacha uschweinhapo ni wapi leta ushahidi kua ni dar nasubiria kuona nyumba wall ni bati kwa dar ππππ
anhaa slums ikose landmark heheh mbona kibera inayo landmark na inatambulika duniani koteπππingia google tu. tangu lini slums zikawa na 'landmark'? wacha uschwein
So?? We VILE UNAPIGA MDOMO HAPO USHAWAHI PANDA NDEGE KWELI... I MEAN USHAWAHI ONA NDEGE...??? AS FOR ME NIKO LANGATA DAM ESTATE NIKIPANDA BALCONY NAZIONA HAPO INJE YA FENCE ZIKIWA WILSON....... TZ NI USHAGOO YOOTEH SO HAKUNA KENUE UNAEZA NIFUNZA MIMIWewe it seems hujui ndegeπππ A380 is the largest passenger plane in the worldππ Unaishi ushago ?? ππ Mwaswast huyu mlevi umemuokata wapi ?? ππ
πππ pengine sijui landmark ni nini πππanhaa slums ikose landmark heheh mbona kibera inayo landmark na inatambulika duniani koteπππ
ndogo eti how come inakua the biggest slum in the worldπππππ akili ni nywele zitumieπππ pengine sijui landmark ni nini πππ
btw Kibera ipo na sikatai. ni ndogo sana aisee.... 5sqkm. iko kivyake.... kama unajua what "zoning" is. hata Hong Kong pia kuna slums.
kuna tofauti ya 'slum' na 'slum city' tafakari
Why una pretend kama tz ndio nchi pekee duniani kuezekea bati ??? Hii notion inatoka wapi ???