Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenyans honestly speaking, mimi shabiki wa eric omond but nahisi kapata hasara kwa hii event yake inayofanyika mda huu hapo kasarani.

amefanya promo almost two months, expectation yake ilikuwa ni kujaza uwanja mzima, but sasa anatuonyesha picha za upande mmoja, ni ishara kwamba turnout ya mashabiki is not pleasing.

sijui nani alimshauri apeleke event kama hii kwa uwanja wa mpira.

angemualika diamond platnumz au ali kiba, kasarani stadium ingejaa ndani na nje. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Attachments

  • Screenshot_2018-04-28-17-05-22-131_com.instagram.android.jpg
    72.9 KB · Views: 42
Hahahaa Eriko shida yake
 
at least sio nyingi vila kama za Tan Dale na Mkocheni.

big up channel 160 DSTV
bro tandale hakuna nyumba ya udongo au nyumba ya mabati nyumba za tandale ni za block πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ila wakenya munaishi kimaigizo
 
bro tandale hakuna nyumba ya udongo au nyumba ya mabati nyumba za tandale ni za block πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ila wakenya munaishi kimaigizo
So muranga ni nairobi?

ama watu wote wa ushago tz wako na permanent houses?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…