Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio munavodanganya watu hvoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Thika road is a 2-4-4-2 lane highway with additional bike lanes on the sides.

Angalia hii picha, unachoona apo ni leni 2-4 za kuenda upande mmoja tu, Barabara yote ya thika iko desing hiyo, alafu upande wa kurudi unapata leni 4-2..




Barabara nyengine yenye design ho ni Outer ring road Nairobi, Hebu niambie hii nayo iko na leni ngapi?
 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabaraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa wale hawajawai fika Nairobi na wamezoea kuonyeshwa picha za kibera nawatz wa JF...... Nairobi ni Kubwa, mitaa ni mingi, kuna watu wameishi zaidi ya miaka Kumi na bado hawajui mitaa yote


 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabaraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mbona uakua na style za kizuzu hivi, argue kama mtu mzima mwenye akili timamu, eti ealier view, kwani hujui pale ziko? ama ulikua ni kuelewa barabara ndo haukuelewa nilipoleta zile picha za kwanza barabara ikiwa empty πŸ˜›πŸ˜› ssa nimewaletea picha za barabara ikiwa full ili muelewe kwamba leni 6 za upande moja zinaenda mbele na 6 za upande mwengine zinarudi, hata kama hizo mbili za kando zimetengnishwa kidogo, na unaeza kutumia hizo leni mbili za nje kutoka mwanzo hadi mwisho wa barabara hio ambao iko na urefu wa kilomita 42..

Naona Thika Road inawauma sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wana weka headquartersπŸ˜€πŸ˜€
1. Azam heaquarter
2. Mo headquarter
3. Kleensoft headquarter
5. Jambo headquarter
6. Sayona headquarter
7. Lake Oil headquarter
5.CRDB headquarter
Etc
pombe sio supu
 
usitufanye mafala tupe earlier view ya hii barabaraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wacha kujifanya mpumbavu wacha nikusaidie kuhesabu hapo unaona lanes ngapi upande mmoja sasa jumuisha upande wapili *****
 
Eti hadi UN headquarters unaweka. UN headquarters zinawasaidia nini ambacho Tanzania hatupati. LED hata Nyumba ya babu yangu naweza weka, 3D printer....really???? Functional sgr hapo sawa.
functional gari moshiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hvi wewe unajua maana ya 10 lanes???πŸ˜€πŸ˜€
 
thika ni 8 lanes na sio 10 lanes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…