Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf atakwambia watanzania hawana pesaπŸ˜€πŸ˜€
 
Hili tangu 2013 liko hivyohivyo
Leta jengo.lingine
Si umesema yapo zaidi ya moja
 
Hili tangu 2013 liko hivyohivyo
Leta jengo.lingine
Si umesema yapo zaidi ya moja
Sileti lingine kabla uniletee jengo moja tu la 20flrs nje ya darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Ukipata unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yani mpaka huruma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kama hamuna pesa simuache tu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›@Bottas
 


Si huwa mnasema Kenya hakuna warembo. Hivi Ali Kiba na huu uceleb wake katembea Tz nzima hakupata mrembo hadi akaja Kenya?
 
hapa hawawezi kuja na wakija lazima watakuja na povu!!andaa wiper mkuu..
 
Si wauze lile bus lao la coaster!! Au halita tosha au tayari liko juu ya mawe!!
ni chakavu sana body ya kuchonga kwa kifupi pale hakuna gari team kubwa kama ile kenya haina hata ofisiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…