Growth ya population bila tangible development,haha.
nimeona towns za nigeria hapo pia
Asante kwa hasira😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱😀😀😱😱😀😀😀😀😱😀😀😀😱
hao millionare hawajasaidia kupunguza employments😀😀😀😀😀
hawasaidii ajira za wakenya yani unemployment kenya is 40% worse in africa alaf mtu anasherekea 😀😀millionaire wa kupaka mafuta na kuvaa cheni na mapete vidole vyote.
king'amuzi za azam kileee.....kwa mbali dish limetulia[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Apa sasa ndio naanza kukuelewa