Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

capital city hata garissa tu inaikimbizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nashangaa wnaiita capital cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ilete garisa tuone tuanze mm na weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
capital city hata garissa tu inaikimbizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nashangaa wnaiita capital cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wacha madharau...

Dodoma stands the same na akina Washington DC, Brazillia, Pretoria, Abuja....
 

wewe tunakujua ni bingwa wa kunywa pombe kali bila glass.

hapa zimelipuka kichwani.
 
mbona hizo hotels hazijabadilisha maisha ya wakaazi wa Zanzibar
View attachment 746846
πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Mbavu zangu
 
Kibera siyo CBD... Dar iko down sana, mkubali yaishe.

cbd ni nini mzee wa kuvimbiwa???umekariri.

ukweli msio taka kuusikia ni kwamba nai sasa ni mbwa wa kwenye makochi kwa dar.mnaomba leo kesho pinnacle iishe ili angarau mrudishe ka ujasiri,but bad enough mwaka huo huo inaisha tutakuwa tumeshamaliza proj mia na.
 
Leta picha za mwanza au arusha tulinganishe na Mombasa ....BTW the largest city in Zanzibar ni??
zanzibar hotels huzitaki au sio unaogopa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ narudia kusema hakuna mji wowote east and central africa unaeza simama meza moja na zanzibar kwenye beach hotel kama yupo anaebisha niko tayariπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…