Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku yenye nitajiskia kulinganisha Zanzibar na Mombasa kwenye mahoteli nitakuambia
umeogopa enhh kama wenzio walivoogopa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ narudia kusema hakuna sehemu yoyote east and central africa inaweza kaa meza moja kwenye hotels na zanzibar na kama kuna mtu yoyote anaebisha niko tayari
 
manta resort the only underwater hotel in africa sio east africa i mean africaπŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi viboxy utaposti mara ngapi? ***** acha kujaza server jamii forums na ujingaπŸ˜€
namuonesha huyo boya mwenzenu haijui zanzibar akamuulize waziri wenu balala πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizi picha ndio mara mia unapostia hapa, kwani hakuna villa zingine Zanzibar ?
hakuna mji unaiweza zanzibar kwenye hotels hehe kama uko tayari twende kazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
by the way thats our second city...ebu waambie wakuletee picha ya their second city....watatokomea wote utadhani unazungumza na ukuta...nje ya dar porini... watu milioni 50 wanaishi kwa misitu na wanyama tu..wengine miloni 5 wapo Kariakor wamebeba mitungi na kuni kichwani CBD wakiwa wamevaa mileso yaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
capital city hata garissa tu inaikimbizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nashangaa wnaiita capital cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…