Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kupata watalii na hela bado mlima ukiwa mbaliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nyinyi endeleeni tu kupiga picha mkiwa mbali but mkitaka kupandisha watalii kwa mlima lazima muwalete tz since we have the best and recommended trekking routes for climbing the mountain.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mpe hii inamtosha
 
Maskini we watalii wanaishia kuona kwa mbali

Mtalii:Kwanini tusiende karibu na mlima

Tour guide:Hivi unalijua jeshi la Tanzania au unalisikia.Watoto wangu wananitegemea mimi ili waende chooni pale kuna AK 47 pamoto
tour guide: unaona ule mlima kilimanjaro uko kenya

tourist: ohh amazing tunaeza enda kwa karibu nikapiga picha

tour guide : pale kuna majangili watatuuwa

tourist: kwann munaogopa majangili na munazo bunduki

tour guide : sisi tunabunduki ila pale kuna AK 47 double penetration chuma cha mrusi mwenyewe yani ikinusa pua zetu tunapokea vyuma bila hiyana

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ porojo hzo zilishaisha
 
Yani dude ukiliangalia linakupa hamu ya kulipanda.Cheki hao watalii wamekaa hali ya kukata Tamaa as if hela yao imepotea wamekaa kama kwenye kijiwe cha kahawa asubuhi asubuhi hawana hili wala lile fahari ya macho
 
Tuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…