Ndege za Ku lease baby hamuna kitu hapo hahahahhahahhaha kwanza Shirika lenyewe lina run loss up to date hahahhahahahhaha 4 yrs now lina run loss hhahahahhahahaJidanganye ili uhisi vizuri.
Najua moyoni uko.na.machingu hhhhhhh
Kenya Mbele
Umeona Bagamoto port hapi juu?Umesoma Hahahahhaha enhhh umeona mambo hayoooo tunazalisha umeme wa gas kwenu historia hio hahaha tuna natural gas 57 trillion cubic feet hahahahhahaha aise 😀😀😀😀😀😀😀
Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahahaPesa hamna...
Hakuna haja ya kubishana.
Mwenye nguvu.....
😀😀😀😀 kua mpole acha mapepe utajua itakapokamika ndipo utajua ilikua imefika wapi unafkiri sisi tunataka sifahii bagamoyo sindio ilikuwa inatofautishwa na lamu port.....choo boy hebu tuambie imefikia wapi
Hhhhhhh...yani bado hujaelewa kulease.Ndege za Ku lease baby hamuna kitu hapo hahahahhahahhaha kwanza Shirika lenyewe lina run loss up to date hahahhahahahhaha 4 yes now lina run loss hhahahahhahaha
Tz government abandoned bagamoyo and instead expanded dar port...ata hujui nchi yako msee.Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahaha
Shida iko wapi...tutakopa hadi izidi.Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahaha
Naona English inakutesa sana hawajapata profilt ila wamepunguza rate ya loss haahahhahahah miaka 4 muna run loss mpaka Leo hiiiiiHhhhhhh...yani bado hujaelewa kulease.
Waa...hhhhhhh
Usilie ukisoma habari hii,haitakufurahisha
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggaMAA&usg=AFQjCNF-RmoJsljOX_5Z_jCw4IOIbxVwMQ
Bagamoyo port kutamuuuu..😀😀😀😀 kua mpole acha mapepe utajua itakapokamika ndipo utajua ilikua imefika wapi unafkiri sisi tunataka sifa
Msijisahau sasa maana yakwenu ndio inajengwa Tz government abandoned bagamoyo and instead expanded dar port...ata hujui nchi yako msee.
Nakwambia Tz ni nchi ya umaskini wa kutupwaTz government abandoned bagamoyo and instead expanded dar port...ata hujui nchi yako msee.
Omba picha uoneshwe sasa hahahhahahha naona mko mbio sana hahahahhah😀😀😀😀😀😀Bagamoyo port kutamuuuu..
View attachment 490419 .
Dar is Slum ipo wapi??😀😀😀😀 kajichangnya amepost pic ya dar simunaona sasa munapenda vya watu hahahhahahahhahahhahaha mutakufa maskini
View attachment 490409
Hatujafkia kiwango cha kuishi kama watu wa kibera,korogocho,mathare,kayaba,giturei,mwiki,umoja etc  😀😀😀😀😀😀Nakwambia Tz ni nchi ya umaskini wa kutupwa
Acha kunitajataja, kiwe moto na nani?? PIcha ipo wapi ya Dar mwehu??Edward wanjala vipi kaka kichwa kimepata motoooo hahahahha punguza pressure kaka 😀😀😀😀😀😀
Imekuaje umepost pic ya dar 😀😀😀😀😀😀 hata aibu huoni acha hizo Mungu anakuona hahhahahhhaahahhaDar is Slum ipo wapi??
Lamu port inaenda kuisha ina connect south sudan na Ethiopia...inaitwa LAPSSET(lamu port for south sudan and Ethiopia transport)Msijisahau sasa maana yakwenu ndio inajengwa 
😀😀😀😀😀😀
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggZMAA&usg=AFQjCNHb87tqgRt1taW3e5BYgeruVj0chw
Imekuaje umepost pic ya dar 😀😀😀😀😀😀 hata aibu huoni acha hizo Mungu anakuona hahhahahhhaahahha
Ipi nimepost ya Dar??Imekuaje umepost pic ya dar 😀😀😀😀😀😀 hata aibu huoni acha hizo Mungu anakuona hahhahahhhaahahha