Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna bana...Tz projects zenu tunazijua na hamna hata moja inayoshtua mkenya...hii ni ukilinganisha na projects zeztu ambazo zinawashtua mpaka waafrika kusini na wanaija

hahaaaaa project gani unaijua wewe ijayo kutoka tz???

hatuna kabisa utaratibu wa kufurahia michoro na kuringishia watu,tuna kuretea picha za site tu.
 
wacheni mambo za sijui shoga.
i'm called kadoda11, jizeee la 60s,the one man army.
this time around i'm taking down all kenyans single-handedly.

hahahaha i love this mind game thing.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wacheni mambo za sijui shoga...kwani mnamtamani? can we stick to the thread
Hahaha uyo bwege anasema sijafika university kumbe ni shoga?
Tunaishi na mapunga humu jamvini ndio maana mambo hayakai sawa...
Back to the thread tunaendelea na ujenzi wa daraja la 2.8km kutoka stesheni hadi buguruni...hii hamjawahi kuota[emoji16]

Kazi by nov 2019 inakabidhiwa rasmi ya ilo daraja...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
hakuna bana...Tz projects zenu tunazijua na hamna hata moja inayoshtua mkenya...hii ni ukilinganisha na projects zeztu ambazo zinawashtua mpaka waafrika kusini na wanaija
hongera kwa hilo eti project zetu zote mnazijua[emoji2] [emoji2]
 
hahaaaaa project gani unaijua wewe ijayo kutoka tz???

hatuna kabisa utaratibu wa kufurahia michoro na kuringishia watu,tuna kuretea picha za site tu.
zile mnaleta hapa tu...kwani uliskia sijui kusoma au nini?
 
shoga ni binadamu...lakini tuache hizi story
 



Hahaha,kinyago,Weka fake posts hata Mara elfu moja ,asiekujua humu kua wewe ni gwiji wa kufake I'd za watu nani? repost 10X lakini haitabadili ukweli kua wewe ni ajuza anaetokwa na udenda mdomoni........Pole Babu wamo humu watu wanaonijua vizuri na ujinga unafake kuweka hapa unazidi kudhihirisha kuwa upumbavu wako.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni zakenya....
ukuta? kuna rais flani mjinga alienda kuzindua ukuta wa kuzuia wezi...anajulikana na si rais wa somalia au kenya yaani project za ukuta ndio mnaimba imba hapa kana kwamba sijui mmejenga eiffel tower
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…