kabadilisha gear tayariπππππthe tough facts
Kenya GDP (2022)-120 Billion
tz Gdp-79 billion
yaani hawa ndio tunabishana nao kila uchao hapaπππ
Sure . Hawa ni waongo wakenya kibao kujisifu wakat choka mbaya wamejaa kibao Tizakikuletea official link ya 8m nitagπππ
akikuletea tu nitag wala usipate shidaππSure . Hawa ni waongo wakenya kibao kujisifu wakat choka mbaya wamejaa kibao Tiz
Pole ya nini usilazimishe nimeumia wakati sijaumia.Yani nyie hamna chochote cha kututisha umaskini wenu upo palepale hata kama Wazungu wanawaita MDCpole lakini umeumia sana...hapa hakuna huruma lazima tuwaweke mahala penu...LDC wenzenu kina somalia na zambia ndio ligi yenu
below poverty line according to CIA worldPole ya nini usilazimishe nimeumia wakati sijaumia.Yani nyie hamna chochote cha kututisha umaskini wenu upo palepale hata kama Wazungu wanawaita MDC
Umaskini upo ila Kenya iwewashinda kimaendeleo...the truth is the truth bruhPole ya nini usilazimishe nimeumia wakati sijaumia.Yani nyie hamna chochote cha kututisha umaskini wenu upo palepale hata kama Wazungu wanawaita MDC
maendeleo gani kaka be specific??πππUmaskini upo ila Kenya iwewashinda kimaendeleo...the truth is the truth bruh
uchumi kwenye makaratasi πππukanda huu hatuna tishio lolote kiuchumi...pengine tuzidi mpaka afrika kusini
maendeleo ya kila aina...is that specific enough bro?πππmaendeleo gani kaka be specific??πππ
yap vry happy...hatumo hapaππππtulishajikwamua toka hali hiiuchumi kwenye makaratasi πππ
huku Debt to GDP 60% bado ur happy
mumefkia mpaka hatua ya kukopa loan kulipa debt hahahah ohhhGODππππ
Hapo chachabelow poverty line according to CIA world
kenya 56%
tanzania 22%
unemployment rate
tanzania 12%
kenya 40% worse in africa
Aviation sector in new high as passenger numbers hit record 10 millionniletee link official kua JKIA ina handle 8m passenger ukileta ww ni mwanaume πππππ
Isiolo airport was built with one sole aim: to open up northern Kenya and to ease trade between kenya and her northern neighbours ie Sudan, Southern Sudan and Ethiopia. That's why unaambiwa it's a lapset projevt so considering that lapset is a project still under development, you can't expect a lot of traffic to Isiolo International Airport as at now. If I may just ask, do you have figures of international arrivals from your other international airports that apparently aren't white elephants?Isiolo is An Airport, with a highway serving it. How is an airport's traffic dependent on other lappset projects? Dont try to hide the nakedness of a white elephant with fig leaves
Maendeleo gani kuwa na Standard gauge with construction of 4bil of poor tax payers from Mombasa To Nairobi with few number of containers transported through the sgr? imetushinda kwa lipi Higher rate of corruption,Nini Ukabila, lipi Mabandit or High production of Food crops for domestic population nini, Tourism sector kipi mbona Sioni?Umaskini upo ila Kenya iwewashinda kimaendeleo...the truth is the truth bruh
Leta ushahidi kwamba inapokea 3 million passengersendelea kulia tu kama kawa ππππ
hakuna siku upo bila kilio wewe
kwaa taarifa nayokupa JNIA kwa sasa ina handle over 3m passengers na imezidiwa kabisa ndio maana giant terminal 3 iko katika hatua za mwisho kumbuka terminal 3 will handle 7.2m passengers keep it in ur mind the modern terminal building in east and central africa ambayo ime cost 560m usd
could u plz have some rest naona leo kichwa kimekuchemkaππππmaendeleo ya kila aina...is that specific enough bro?πππ
7.1m passengers passed through JKIA iyo ilikuwa 2016.could u plz have some rest naona leo kichwa kimekuchemkaππππ
is that link of 2017 or 2018 we are talking about