😀😀😀 nyako maber nimetaja slum tatu population zake almost 80% ya population in nairobi. Kibera= 2.5m. Mathare=0.5m. Makuru kayaba= 0.7m hehehhehehe hebu add those 3 slums alaf uje tuongeeMimi mwenyewe niko Hurlingham,
Na sijawahi fika kibera na Si mbali..
wakenya wengi Nairobi wajui kibera Iko Wapi Si kama Dar ni slum three quarter.
dah mpaka huruma imeniingia dar baadhi ya maeneo kuna mazingira mabovu lakini kwa hapo nairobi mmepitiliza aisee mpaka huruma mazingira hayo si poaOkay: Watch this video and then uje na adabu siyo kuongea ujinga ujinga. Please watch it.
Mimi mpaka nimelia....kilio cha mtu mzima.huruma sana.wakenya wanatia huruma sana.so sad.dah mpaka huruma imeniingia dar baadhi ya maeneo kuna mazingira mabovu lakini kwa hapo nairobi mmepitiliza aisee mpaka huruma mazingira hayo si poa
Uhahahahhahah naomba add those no usiache hhehehheCape town ni world class city na kuna slum kubwa...6%
Nairobi ni world class city na kuna slum 9%
Dar Si world class city na 70% ni slum.
Tena hio makuru kayaba ina watu 700k my friend hahhahaahahhahahahMukuru Slum Nairobi, Kenya
View attachment 490264 View attachment 490265 View attachment 490266 View attachment 490267
Tena modern ones hakuna east and central Africa hatubaahatishi hehehehehhehfootball hamjui.
Rugby "
Athletics "
volleyball "
Sasa hiyo stadium ni ya kazi gani?
nyie hamna kitu kwa sasa sema kwa kuwatumia photographer vizur maalum kwa kupiga picha maeneo mazuri ya jiji lenu mnajitahidi...dar tym ya kupiga piga picha jiji hatuna
Sio ya kwanza inayojengwa sasa niya tatu na zote za kikubwa hahahaha tens ubungo interchange itakua ya kipekee east and central Africa aaahahahahNiliskia Dar mmeanza kujenga flyover ya kwanza juzi....I just hope when you finally finish building it you don't make that day a national holiday.
Yani, flyover ya kwanza tangu 196o...mlikosea wapi?
Du!! Kweli kuna watu wanawashindikiza wengine Duniani!!Okay: Watch this video and then uje na adabu siyo kuongea ujinga ujinga. Please watch it.
dah kwel huruma jamaa analalamika anasema anastruggle sana kwa lifeMimi mpaka nimelia....kilio cha mtu mzima.huruma sana.wakenya wanatia huruma sana.so sad.
tunaongelea urban city baba usibadilishe gear angani hahahhhahahahahha naivasha ni city?????? Au ndo nyege zenyewe hzoNaivasha is 1700 km sq so imechapa dar
Kwa kwa kibera is 2.5 million people usichange mada hapa hhhahhahhahah inaingia akilini kibera iwe hio wakat kayaba ina 0.7 million people, we mzima kweli hahahhaahah unachekesha sana weweKibra is known world wide but its surprising 70% of you guys live in slums so there is a probability of 0.7 of u posting inside a informal settlement.
Kibra is being upgraded btw
Kibera has a pop of about 150000 unlike thought before
Hapo je hahahhaahahah70 % ya dar...in fact dar is only the cbd places zingine ni mazishi....was there last year and your city is pathetic even if u try to paint it..its only the cbd that can considered at least modern
Hahahaha... Anataka kulazimisha kupita njia ya mkato japo ina miba mingi na vilipuzi vya alshabab vilivo chimbiwa chini.tunaongelea urban city baba usibadilishe gear angani hahahhhahahahahha naivasha ni city?????? Au ndo nyege zenyewe hzo
Hataki sasa hahahhahahahaaa haamini anachoambiwa hahahahahaahaahRobots were not invented in Tanzania man...due u know innovation
Da!! Kiukweli nimemuonyesha video hiyo wife da!!Mimi mpaka nimelia....kilio cha mtu mzima.huruma sana.wakenya wanatia huruma sana.so sad.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Da!! Kiukweli nimemuonyesha video hiyo wife da!!
Alivyo na uchungu kalia kiukweli
kuona mwanamke anavyo jieleza kwa machungu!!
Kiukweli Kenya Bado bado
kuna wakenya wanaishi kama Mbwa ndani ya Kenya yao
nihuruma
DadadadadadadaaaaaaaaaaaOkay: Watch this video and then uje na adabu siyo kuongea ujinga ujinga. Please watch it.