Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gmorning...hv Kenya mko na meggawatts ngap ya umeme kwa sasa...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Are you color blind my friend hebu niambie kama Kenya iko na rangi ya hudhurungi au nu Khaki? jibu pole pole bila hasira
so ur develepod ryt??? not developing sindio😀😀😀😀😀
 
iko undercosntruction vp na hakuna sehemu wamejenga pedestrian path ?????😀😀😀😀
Ndugu yangu tujadili mambo mengine lakini sio swala la barabara coz hapo Dar haina usemi mbele ya Nairobi. nawaambia outtering bado inajengwa na mnazidi kuuliza kuhusu bus stops aliyewaambia hazitonjengwa ni nani? Kama zilewekwa Ngong rd, langata rd thika rd na barabara zingine nyingi zilizojengwa hivi majuzi mbona mnaona outtering ndio zitakosekana? Wacha hata pedestrian paths, hiyo barabara hata taa hazijawekwa. Tukianza kujadili barabara za Dar na Nairobi hapo mtakuwa mnatafuta aibu.
 
we diamond humepndi kisa mtanzania??😀😀
Napenda sana diamond tena mimi ni mfuasi mkubwa sana wa nyimbo zake ila kumuabudu ndio siwezi. Mtu mzima anashinda akituletea story za diamond asubuhi hadi jioni mbona nisiseme anamuabudu?
 
tusijadili vp wakat munajenga outering bila pedestrian path munategemea nn zaidi ya vifo taa sio issue hapa tunajadili njia za watembea kwa miguu watu wanakufa kwasababu hawana sehemu za kutembea wakat mwingine kwenye ukweli mukubali ukweli na kwenye udhaifu ukubali pia unapinga nn wakat watu wenyewe wameongea wanakufa we vp
 
Napenda sana diamond tena mimi ni mfuasi mkubwa sana wa nyimbo zake ila kumuabudu ndio siwezi. Mtu mzima anashinda akituletea story za diamond asubuhi hadi jioni mbona nisiseme anamuabudu?
hakuna mtu anamuabudu diamond by the way diamond kwa tanzania anaonekana ni mtu wa kawaida sana kwasbabu anaupinzani mkali kutoka kwa wasanii wengi sana
 
Kama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahaha
 
munakosa mpaka pesa yakununua karatasi😀😀
View attachment 734930
😀😀😀😀
Top 12 Poorest Countries in Africa
 
You must have been a dunder in your class
 
Kama kutoa risasi kwa Tundu Lisu ndio iliwashinda na kumleta kenya sasa kutibu cancer ndio mtaweza? hahaha
na tundu lissu aliketwa kwenu kwasababu za kiusalama tu ni sawa raila apigwe risasi alaf jiulize familia yake watakubali atibiwe kenya????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…