Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vijana wa kikenya bado mpo katika usingizi mzito....endeleeni kutafuna miraa, stimu ya miraa ikiisha ndio akili itawarudia.

harafu maneno mengi mdomoni pra pra ati ooh wakenya tupo aggressive... aggressive mavi ya kuku.

laiti kama mngekuwa watu aggressive, babu tale asingeshinda nairobi ku-organise show ya Rick Ross.

biga kazi babu tale. hapa kazi tu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hapo kuna shida gani??? Au kwa vile hamjazoea miji yenye high density.
Haya angalia hapo Paris na Rome useme napo ni slum cities.
 
hahah kadoda,mbona asiipelekee Dar,
juu huko watu ni poor they cant afford ticket ya $100 na show iwe sold out...
 
Wewe unakuanga na ushabiki ya kijinga sana. Unaongea kama mtu aliyekunywa mchuzi wa albino na kubakisha viganja vya miguu. Kwani all international artists ambao washawahi perform kenya huwa hizo shows zinakuwa organized na watanzania? Acha kufikiria kutumia matako
 
Tunaongelea government hospital unaleta private hapa leta big government hospital outside Nairobi sio huu uchafu unaotuletea hapa
Nani alikuambia Thika Level 5 hopsital siyo ya serikali? Chuki itawaua
 
Wewe unaona hizo nyumba kwenye hizo picha zinafanana na zile dream houses zenu za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio?
Naona macho yako yana lens maana unaweza ona aina ya nyumba zilizopo kwa umbali wa ile picha. Hongera.
 

any need to mention matako!!!!

au uko nayo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…