El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Wakati wakenya wanazunguka huku na kule kutafuta msosi. Hapa Tanzania watu toka nje wanamiminika.
SINEMA ZETU. Muigizaji toka India PREETIKA RAO ameingia kwa kishindo.
100 metre road sample ndio zenu.....hamuwezi jenga hata 200 metres yawa
Upanga has a thousands of this type of apartment. ..
Upo serious?acha jokes bana...ziko nyingi sana yaweza kua ndio mahali gap liko hua nashangaa sana mkisema nna real estate yakumshuta mtuhahaha ......upanga hata ghorofa 20 ndio hazifiki
.Upo serious?acha jokes bana...ziko nyingi sana yaweza kua ndio mahali gap liko hua nashangaa sana mkisema nna real estate yakumshuta mtu
Hakuna mahali nbo kuna highrise apartments za kusumbua Upanga, case closed.
I wish I would get some photos of kahawa sukari estate ......hiyo upanga yenu si kitu my friend
Supermarkets zipi mnazozungumzia akina nakumat au?Supermarket are not small businesses mate. Trust me.
Hakuna mahali nbo kuna highrise apartments za kusumbua Upanga, case closed
Naona unajifuraisha.
I wish I would get some photos of kahawa sukari estate ......hiyo upanga yenu si kitu my friend
Mtaleta hizo kampuni sana. Lakini mwisho wasiku imewasaidia nini.African, Sub Saharan and East Africa hq that are based in Nairobi. Na sijaona the likes of Showmax kwa list. This shoes how Nairobi connects the rest of the region to the world. If that does not shout what capital of EA means then I dont know mate. Now show me one multinational that is hqed in Dar or Arusha or somethingView attachment 731251 View attachment 731252 View attachment 731253
that's like 50 metres apart......but why is Dar so squeezed and underdeveloped to this extent....lol.African cities need to style up
View attachment 731134
investor yoyote anatafuta sehemu yenye pesa na sisi tunataka investment ili tuongeze ajira kwa vijana kodi ipatikane , money circulation iwe kubwa hehehKama ni mapesa kupitia wageni you mean foreign investment, Nairobi is ahead of you guys. See, ni hard upate a TZ company in Kenya but huko dar, kenyans invest, Equity, Mwananchi media I guess, KCB, various supermarket etc. There are more foreign firms in Dar than Nairobi. I can name a good number but why bother?
hio upperhill yenyewe bado haijawa na density ya kutosha yani nairobi bado sanaππππCombine all those cbd's and the result will come out to be Shenzen like cbd
uhahah maumivi once again okota tena picha google ueke useme dar maana nimeona pic ina plate namba sijui za nchi gani nimecheka sanaππππ100 metre road sample ndio zenu.....hamuwezi jenga hata 200 metres yawa
hii picha umeweka umesema dar haha nimecheka sana hasira zikipanda unaokota picha google unasema darπππππmchezo huu hautaki hasira100 metre road sample ndio zenu.....hamuwezi jenga hata 200 metres yawa
Wanataka kujenga Dom au Dar?Hii kampuni nikubwa sana. Wako pia na real estates China. Wanamajengo ya 90 floors mengi. Kuna wa China pia wanashugulikia kibali cha 50 floors skyscraper pale Victoria.
Check out @TheCitizenTZβs Tweet:
unasema 20 tu ziko mpaka 25πππhahaha ......upanga hata ghorofa 20 ndio hazifiki
Hawa jamaa wanajitekenya tu. Kenyatta airport kwa ndani its so poor. Kwenye ile extension imejengwa kama warehouse.