Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi wakenya nawaulumîa sana kutokana na uimarishaji wa infrastructure na sera ya viwanda ya Magufuli. Magufuli ni game changer katika maendeleo ya Tanzania. Tanzania inaenda kujengeka kuliko wanavyo zania.
 
Tanzania No. 54
Uganda No. 105
Rwanda No 113
Kenya No. 125
Eti kuna mtanzania anayependa kwenda kuishi nchi isiyokuwa na amani kwa kiasi hiki. Tanzania inafanana sana na SADC kuliko EAC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…