Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nauliza kati ya Tanzania na Kenya nchi gani imeendelea? Nauliza hivyo kwa sababu kila siku tunasifia ujenzi wa fly overs Tazara na Ubungo, ununuzi wa ndege na ujenzi wa standard gauge railway kuwa ndo maendeleo.

Sasa wenzetu Kenya SGR tayari wanayo, ndege wanazo kama ifuatavyo: Boeing 787 ndege 7, Boeing 737-800 ndege 8, Boeing 737-700 ndege 2 na Embraer 190 ndege 15. Wana flyovers kila kona ya Nairobi na Mombasa.

Je, kwa mtanzamo wa wanaCCM Kenya ni nchi iliyoendelea?
 
 
Hamna ripoti ishawahi weka Tz mbele ya Kenya anyways....Hahahaha mtakuwa nyuma yetu always we lead Tanzania follows.
asante kwa kukubali kua tunawapumulia kisogoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nrb tupo 2.5 million. Dar mpo millioni 4 hao wengine millioni mbili wamo miji mingine Tanzania.
kibera 2.5m
makuru kayaba 700k people
mathare 500k
bado kariobangi etc na zingine nyingi tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kinachowafanya kenya kuendelea kuliko sisi ni kua na rais mwenye hekima na busara na katiba nzuri.
 
failed state
umaskini ni mbaya sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Shwari???
 
Citizen TV and thanks you... Keep the fire burning
hamuna mkaa wakupikia sasa munachoma magari ili mpike chakula hahahahh ama kweli sijapata kuona nchi ya kipuuzi kama kenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…