Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are talking of city area usichanganye mada hvo ni vitu viwili tofaut kabisa😀😀
Yes the city are, the administrative boundaries of the city, but you do know a city doesnt just end penye county government imeacha kucollect tax, its part of the greater city, i.e. the continuation
 
Yes the city are, the administrative boundaries of the city, but you do know a city doesnt just end penye county government imeacha kucollect tax, its part of the greater city, i.e. the continuation
Hebu nenda google tafuta maana ya city area naona kidogo unachanganya mada😀😀😀 unanipa mashaka kwenye elimu yako ndugu
 
Hiyo umejua na kuwa chauffeur? New York ni 789km sq so you are saying Dar is better than NYC?? mujinga mushenzi...yes.
Newyork is developed city tofautisha kati ya developed na developing 😀😀😀😀
Nai na dar ni developing cities nahisi umepata idea😛😛😛😛😛😛
 
Ndogo kuliko Lamu which is currently under Construction. Mtakuwa mnatupumulia makalioni till cuming of Jesus Christ.
Uhahahah tanzania has 4 ports na inajenga ya tano sasa giant port na ukumbuke dar na mtwara both ziko under huge expansion😀😀😀

Mulijenga lamu kutegemea bomba la mafuta kutoka tanga sasa halipo tena sijui itakuaje😛
 
Sent by mswast
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…