Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mchina alishawajua nyie ni washamba huenda kuzubaa kwenye malls na CBD kutafuta wifi ya bure ndo maaana kawajengea vituo vya treni vikubwa ili mjazane mshangae huku mkisubiri garimoshi la mchina kutoka Guangzhou museum
Wangoje za kwetu kama brt zilikuwa best sasa sgr itakuwa more too
 
Highway tu,ndo maana nmekuambia hakuna jipya,sana sana Nrb itaizidi Arusha Slums na watoto wa mtaani,,nothing else....!
 
highway from lungalunga to msa 90kmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 723296
Hii ni aibu sana kwa nchi inayojisifia kuwa na GDP kubwa, huwezi kuona barabara mbovu kama hii Tanzania, hata zinazounganisha wilaya kwa wilaya, hii barabara ya Lungalunga Mombasa inaunganisha Kenya na Tanzania, nilipita hapo miaka minne iliyopita, hali ilikuwa hivyo hivyo, kweli ni failed state
https://www.nation.co.ke/news/Kenya...Index-rankings/1056-945310-xke1t0z/index.html
 
Superhighway haipo Dar sembuse Arusha? Sasa unaiona sababu yangu na wenzangu kuamua kuilinganisha Dar na Mombasa tupo sahihi.
BRT na availabity of adequate running water hazipo Nairobi itakua Mombasa! Ndiyo maana wenzangu wameshauli battle iwe Mombasa+Nairobi against Dar
 
City maskini disorganized ndio unatuambia ama,
kujenga towers along the road kuficha aibu upande wa nyuma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…