Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Sasa umeulizia swala la makazi ya watu wa kawaida Nairobi na Dar. Lakini hao wenako watanzania badala ya kujibu swali ulivyouliza, wamerukia kuweka mitaa za machochole za Nairobi lakini hawajaweka mitaa za wa watu wa kawaida mjini Dar. Hiyo inaonyesha nini?
TanzaniaNilikuambia soma hapa vizuri
Kama ulienda shule
chukua 3.5ml Kisha itafute 60% ya 3.5ml
jibu unalo
The following is the list of slums in KenyaTanzania
Population: 44 million
Number of people in slums: 6.2 million
Percentage of urban population in slums: 66%
Partner organisation: Centre for Community Initiatives (CCI)
Tanzania has the third highest slum growth rate in Africa, over 6% per year, and the sixth largest slum population. With over 6 million people living in slums, slum dwellers make up more than two-thirds of its urban population. Other UN reports estimate that in fact 92% of Tanzania's urban population live in slum conditions &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; more than 11 million people &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; which would make it the third largest slum population in Africa. In recent years, the government has carried out numerous evictions, leaving tens of thousands of poor households without shelter, water and sanitation, and often livelihoods.
People living in Tanzania's slums often lack secure tenure, clean water and basic services, and the rapid growth of slums has seen water and sanitation coverage regress in many areas. Pit latrines, the most common form of sanitation, are poorly constructed and often collapse during the rainy season. Health is a common problem: according to the World Health Organisation, 6% of Tanzanian adults live with HIV/AIDS, increasing to 11% in urban areas. Antiretroviral drugs are often unavailable and unaffordable for the poorest, who also suffer from significant stigma and discrimination, as HIV/AIDS remains a taboo subject. The HIV/AIDS pandemic presents unique challenges in slum communities, notably due to the speed of transmission and unsanitary conditions, resulting in low health levels and severe poverty.
Slums and urban poverty in Tanzania - Homeless International
Some of those slums u have mentioned there are but a division of a one larger slum. Ie, Kibera includes the villages of Kisumu Ndogo, Lindi, Raila, Soweto(east & west), Gatwekera and Kichinjio.Kitu kimoja ambacho dada Zuwenna hakifahamu kuhusu wakazi wengi wa jiji la Nairobi.
kutokana na uhaba wa ardhi ya makazi,asilimia kubwa (sina takwimu sahihi) ni wapangaji wa Nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo (kwa kingereza huitwa elite class) cha wakenya toka kabira la wakikiyu,wanasiasa na wafanyabiashara.
wengi ya wakazi wa Nairobi wenye kipato haba ambacho hakiwawezeshi kulipa pango ktk maeneo mazuri,wamepanga maeneo duni ya:
Baba Ndogo
Dandora
Fuata
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera (Kibera has been described as the largest slum in Kenya)
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe.
kwa wakazi wa dar es salaam,hali ni tofauti,kutokana na upatikaji wa ardhi kuwa si jambo kubwa, baadhi wamefanikiwa kumiliki ardhi na Nyumba zao binafsi ndani ya jiji au pembezoni mwa jiji.
Ebu tuma formal/middle class yenu..tuna suburbs zenu
So what? It doesnt change this factThe following is the list of slums in Kenya
Baba Ndogo
Dandora
Fuata Nyayo[7]
Gatwekera
Huruma
Kambi Muru
Kangemi
Kawangware
Kiambiu
Kianda
Kibera
Kichinjio
Kisumu Ndogo
Korogocho
Laini Saba
Lindi
Majengo, Nairobi
Makina
Makongeni
Mashimoni
Matopeni
Mathare
Mathare Valley
Mugumoini
Mukuru kwa Njenga
Mukuru slums
Nyalenda
Pumwani
Raila
Sarang'ombe
Shilanga
Siranga
Soweto East
Soweto West
Ziwa la Ng'ombe
Kinachokutoa povu wewe kasome hio link ni ya mwaka gani ndio maana kila Siku nakwambia dar imejengeka within 10 years my friend usishupalie kitu ambacho hakiingii akilini
Sasa umeulizia swala la makazi ya watu wa kawaida Nairobi na Dar. Lakini hao wenako watanzania badala ya kujibu swali ulivyouliza, wamerukia kuweka mitaa za machochole za Nairobi lakini hawajaweka mitaa za wa watu wa kawaida mjini Dar. Hiyo inaonyesha nini?
Hiyo ni nia ya kuficha ukweli ya kuwa the quality of life ya watu wa kawaida, yaan the middle-class Nairobi ambao ndio walio weng-sio mabwenyenye sana wala pia sio maskini wanaishi kwenye makazi bora kuliko madlle-class wa bongo.
Mimi nitakujibu swali ulivyouliza, sitoweka makazi ya watu matajiri humu, bali ya watu middle class.
Mtaa wa Kariobangi- a lower middle class neighborhood
Maeneo ya Eastlands
Nairobi South, ninakoishi mimi!
Sisi ni manguruwe.....hatukatai. Hizi chuki zote kiasi ya kuitwa hivi? Siku moja nikauita MOTOCHINI nyumbu, kiutani tu. Akaniitia mods. Leo hapa yeye huyo anaita wengine manguruwe.
Haya, na sasa watanzani watupe mitaa zao, sio kuzungumzia Nairobi namna hiyo kana kwamba kwao ni kuzuri.
No slums.
Angalia page za nyuma zilitumwa mukakimbia hehhehehe wewe umedandia treni kwa mbeleEbu tuma formal/middle class yenu..tuna suburbs zenu
Pictures dont always tell the whole story, stastistics are a bit more revealing
You have nailed it bro.[emoji122] [emoji122] [emoji122]Usipende kupindisha vitu hapa
nilisema na narudia kuseme
makazi yale Nairobi yanastahili kuishi Nguruwe si Binadamu kamwe,
sija sema Wakenya ni nguruwe jielewe!!
Turudi kwenye mada
Unatuletea picha za sehu wanazo ushi Mafisadi ya kenya
kikuyu na ukoo wa Kenyatta!!
lete makazi ya wakenya wengi Nairobi
wakenya halisi siyo huko!!
wanako ishi wakenya wengi!!
Unajua wewe huelewi
usituletee picha za juu kuchagua Mahali
Leta mahojiao video tuone makazi kweli ya wakenya ni yapi
Hebu tazama hii
hawa ni wakenya waishio Nairobi
ndio 60% ya wakazi wa Nairobi tazama Makazi haya!!
Ni wapi Dar kuna vijumba vya mabati kama hivi!!
Niwapi dar kuna Mtu aliweza kuongea Akipata walau kuishi sehemu yenye hewa atabadilika kiafya!!
Kuweni na Imani na wakenya wenzenu najua hawa ndio mamazenu na huku ndio kwenu halisi!!
Unatuletea picha za Mafisadi yamejimilikisha Ardhi huku wakenya hawana ardh yakuishi!!