El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Lol......Karen is in top 5 best estates in Africa.......extends to ngong........and its all tarmacked without any storey building.Any storey building is prohibitedView attachment 720590
mtaa wa kushtua apo Nai ni ule mnauita Karen. ..Iyo inaenda sawa nanmikocheni tu
Zile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCsWanajisifu estates wanashindwa kuafford wenyewe kujenga pumba kweli hawa
vibanda vya kariakooTofautisha vibanda na nyumba tafadhali
Karen is the only place imetulia sio izo vibanda mnatuonyesha apa mnaita estate..Lol......Karen is in top 5 best estates in Africa.......extends to ngong........and its all tarmacked without any storey building.Any storey building is prohibited
Sijasema east or central about homeZile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCs
Vibanda vimetapakaa mnaita estate .kkoo haina mpinzani ukanda huuvibanda vya kariakoo
Izo pesa zitabadili nn kule lodwar garissa na wajir...Au zinanunulia v8 za elites kenyan na miradi ya wiziwizi tu?wabunge waongezewe posho wakati mtaani kibera inaexpand...Lol.....tumewafunika maradufu....
Problem yenu ni akili, wengi wenu hamna akili kabisa, lengo la bajeti ni figures au kuona mambo yanayofanyika nchini kutokana na bajeti husika?. Hata kama Kenya mngekuwa na bajeti mara kumi zaidi ya Tanzania, lakini bajeti yenu haina maana wala faida kwa nchi na wananchi, ni aibu kwa nchi inayopanga bajeti kubwa lakini inazidiwa tena kwa mbali sana na nchi inayotumia pesa kidogo kufanya mambo makubwa.na hata budget yenu ingekuwa 3tn kenya shillings na ile ya kenya iwe 3tn pia, bado mngekuwa chini sana. kumbuka tanzania is almost twice as large as kenya and has a population of10 millionmore than kenya
Hahahahahah with growth rate ya speed ya konokono, 4.8%
Expectations with cooked GDP hehehe
Problem yenu ni akili, wengi wenu hamna akili kabisa, lengo la bajeti ni figures au kuona mambo yanayofanyika nchini kutokana na bajeti husika?. Hata kama Kenya mngekuwa na bajeti mara kumi zaidi ya Tanzania, lakini bajeti yenu haina maana wala faida kwa nchi na wananchi, ni aibu kwa nchi inayopanga bajeti kubwa lakini inazidiwa tena kwa mbali sana na nchi inayotumia pesa kidogo kufanya mambo makubwa.
Who is a failed state within EAC?Zile nyumba za kiswahili ndio kujenga hahaha.........wakenya wamejenga kwa wingi sana more than all other east and central African countries combined.that's why we are a beacon of hope sorrounded by LDCs
Expectations with cooked GDP hehehe
Wivu kwasababu mpo kwenye kundi la failed states?, sisi hatuhitaji kuwa hukokusanya haya maneno mengi ya vijiweni mjitoe nayo LDC status..
.
....
maneno ndio mmejaa nayo ila nchi imewashinda kujenga.......Mnaonea tu Kenya wivu hakuna jingine
230b unafkiri mandazi na vitumbua hzo figure😀😀😀😀😀😀Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......
laughs in hulks voice
Ninyi si ni failed state, nchi haijulikaniminaendeshwa na nani, uchumi unaanguka serikali imefilisika madeni hadi bafuni, bado watu wanaimba GDPHahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......
laughs in hulks voice
Ziandike tu mbona rahisi tunangoja hiyo 2024Hahaha mkilemewa na hoja ni kusingizia "cooked"....wacha tuchape kazi 2024 tufike 230 billion dollar economy Tanzania ikipumulia huko nyuma kwa 80....hahaha.Bring it on lazy Tanzanians.....we shall beat you forever.......
laughs in hulks voice
How come Tanzania is able to pay for their sgr and Kenya not.tanzanian budget is usd13,953,280,000 kenyan usd 25,688,000,000(ksh2.6 tn) the difference is more than 10bn dollars