Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu pia ni ujinga kusema Kenya ina barabara nyingi za lami kuliko Tanzania

Licha tuu ya ukubwa wa Tanzania, popote pale Tanzania hii unaweza kwenda popote kwa lami

Agencies wa kusimamia barabara Tanzania ni kama

TANROADS
Deals with Highways tuu

TARURA
Deals with wards, streets, villages, constituents roads

TAMISEMI
As ministry has a department dealing with
District, Municipal and Towns Roads

Sasa wote hao wakikupa database zao kuhusu mtandao wa barabara Tanzania 2018 si tutakimbiana humu
 
Wameishiwa hao wanaanza kutafuta data za uongo japo kujiliwaza...Tanzania hoyeeeee......
 
Watasema hizo ni data za kupikwa kama ilivyo kawaida yao
 
mwambie akupe source akikupa source nitag broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wamezidiwa sana, sasa hivi wanaokoteza picha zisizo na ushahidi, au taarifa kama hizi za vijiweni ili angalau wawepo hapa jamvini. Sasa hivi Tanzania ndiyo yenye foreign exhange kubwa ya $5.3B, Kenya ina $4.7B. Hao ni kuwapuuza tu.
 
heheh unajua hii thread inawaumiza sana kichwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sana hawa watu wanapenda kujiona wao ni [HASHTAG]#ARYAN[/HASHTAG] race ya East Africa kumbe Maskini na makapuku hawana mbele unakumbuka jana Wafanyabiashara walimwambia Rais kenya ilikua mshindani wetu kwenye Tourism sector lakini sasa hivi siyo tena.Hawana lolote hawa.
 
Lol....7000 kilometre of roads.....porojo hatutaki
 
ndio ule msemo unasema hawavumi lakini wamoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wamejaribu comeback lakini wanatapatapa tu.......data za UN na Wikipedia huuma kama nge.....Lol.poleni wana LDC ....
lanes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…