joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Apart from Uthamaki, corruption, tribalism, hunger, police killings and insecurity, what else you can offer to the EAC?, don't mention marathon runners and Lupita Nyong'o please[emoji23] [emoji23] [emoji23]source ni joto la jiwe.. .........hahaha .kwa reality Kenya has you beaten in everything mkatae mkubali
Kariakoo pekee ina slums mingi kuliko darπππKariakoo pekee inamajengo mengi kuliko Nairobi
Dar to bukoba including mwanza ni 1400km.uko sahihi kwasababu dar to bukoba 1400 km paved road, dar to mwanza 1200km paved, dar to kigoma over 1400 km, dar to sumbawanga over 1500 km paved, dar to mtwara 600 km paved, dar to mbeya 850 km paved, dar to musoma over 1600km paved, dar to tanga/ horohoro 400km paved, dar to arusha/namanga 750km, mwanza to tabora 350 km paved, singida to arusha 340km paved, dar to iringa 510 km paved, dodoma to iringa 270km paved, tabora to kigoma 420km paved, mwanza to kigoma 600km paved etc
kweli enhhhππππππKariakoo pekee ina slums mingi kuliko darπππ
Apa si mi Mars au??
ππππ SI DODOMA NDIO MJI WA PILI KWA UKUBWA TZ? MBONA UNALINGANISHA NA MJI WA TATU KENYA?Tukienda jengo mojamoja kisumu haiingii kwa dodoma, unabisha???
Nipate pale Mombasa vs Dar...pale ni kuidhalilisha dar mpaka mchoke...π
uhhahahah hapa pamekushinda πππππ mambo moto humuNipate pale Mombasa vs Dar...pale ni kuidhalilisha dar mpaka mchoke...π
We acha tu mkuu.. sasa piga picha na modern electric train inapita ambayo haina makelele kama za wale wengine. What a scenery it will beSipati picha lile daraja la SGR likikamilika hapo patanogaje....
Maana ndo breath mouth ya hilo daraja hapo...
lete source toka katika wizara yenu ya fedha, acha kuokoteza taarifa, hata budget ya mwaka huu bado Kenya haitegemea kufikia 2.6 trilion, the highest it can go is 2.4trillion2017 budget was 2.69 trillion
View attachment 720074
kwanza hio 2.4 wanatoa wapi na nchi haina pesaπππππAcha ujinga wewe, lete source toka katika wizara yenu ya fedha, acha kuokoteza taarifa, hata budget ya mwaka huu bado Kenya haitegemea kufikia 2.6 trilion, the highest it can go is 2.4trillion
Na Eurobond hawawezi pata inabidi watafute Eurorambokwanza hio 2.4 wanatoa wapi na nchi haina pesaπππππ