Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

High Def Lazima utapata pressure safari hii kwa kukusanya data zenye kukupa matumaini, muhimu ujue kwamba, Tanzania is far ahead of Kenya on basic human requirements kama, maji, barabara, chakula, public hospitals, security, employment, land policy, shelter and others, ninyi mnatuzidi kwenye vitu ambavyo sio muhimu kama malls, private cars, flyovers, and marathon runners
Kenya falls in β€˜Failed State Index’ rankings
 



Lol I like the way Tanzanians don't want to swallow the reality that we are better than them.......self denial is a mental disorder .
 
african beauty by diamond platnumz ft omarion is at number one on spotfy.

diamond is also thanking his nigerian producer for producing a hit song.

btw african beauty was produced by a nigerian producer and not kenyan like that imbecile kolo mwizi said[emoji23]
 
Bado linakidhi mhitaji ya sasa?idadi ya wabunge imeongezeka Na jengo bado Ni lilelile...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
bunge limepanuliwa.infact kuna tower moja hapo kando ya 26 floors inaitwa parliament tower...itakua ya maofisi ya wabunge...lakini aliyekudanganya limebaki vile vile ni nani?
 
obsessed tz how are youπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€naona mnakanyagana bado kwenye battleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€napita tu... pokeeni salamu
 
hiyo thread itakufa kifo cha mende.

hii siyo mara yao ya kwanza.huko nyuma walisha attempt kuanzisha thread mbalimbali zenye agenda ya ku-divert attention ya watu wanaofatilia hii topic,wakashindwa.

kuna wakati walikuwa wanajiribu kumuomba moderator afunge thread ili battle iishe, wakashindwa cos moderator aliwapuuza na thread ina-trend mpaka leo.

wapo wapuuzi wengine walijaribu kuidharau jf na kudai eti wanahamia nairaland, cha ajabu kila siku tupo nao hapa na hawapitishi lisaa bila kukomenti.
viva tanzania. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hahaha hii thread ina waumiza sana kichwa wakenya lakini pia imewafungua sana macho wakenya na imewapa elimu kubwa ya kujua kua pia miji ya watu imeendeleaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…