El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
We know the real Zanzibar bro....not the Arab owned hotels by the beachMalindi ni upuuzi gani??? Hvi wewe umeisahau zanzibar unakumbuka ulivoingia jamii forum mara ya kwanza ulikutana na nn na ukazungumza nn hahahhaah ama kweli wakenya munakazi kweli kweli😀😀😀😀
Narudia hakuna mji wowotw east and central africa unaeza kaa meza moja na zanzibar kwenye hotels na kama yupo anaeibisha niko tayar kuanza nae
satellite view.....not aeriel
Lol..........you guys think we've never been to Tanzania or what........Kenya Outside Nairobi is Hell.
Dodoma is just a passionate wajir.....does dodoma even have an airstrip?Kijiji kimejaa ufukara namna hii halafu mtu anafananisha na mji wa Kisasa Kama Dodoma,
Wajir city, Kenya.
Kenya = Poverty!
This is a big lie!! kwakua Kenya hamna chakula kizuri maybe ndiyo maana chakula cha UG kika kubamba. UG chakula chao kikubwa ni Matoke ( Ndizi zinapondwa na kusongwa kama ugali) na Katogo (miogo). Ukiondoa hivyo wana penda sana solex na chips river. Hivyo vyote ni vyakula vya kawaida sana kulinganisha na vya Tz. UG hawana variety ya misosi. Tz kwa misosi hatuna mpinzani last month nilipata confession kutoka kwa mchina kuhusu our food, alisema anaondoka Tz ila kote alipo enda duniani vyakula vyetu ni noma. Wajameni ambao mna penda kumanga karibuni for food tourism [emoji1]kadoda showed us some packed biryani for the fast breaking lol...
...kama ni food in East Africa I think Uganda puts all of us to shame....and I really enjoyed Ugandan food and their people....they are the only east Africans that atleast understand Kenyans and we get along quite easily.....not like our southern neighbours who wish us doom and gloom all day and night
Yap, so poor indeed, isn't it?satellite view.....not aeriel
jinga wewe we dodoma unaijua vzr au unaiskia kwa watu 😀😀😀😀 kama uko tayari tuanze mm nawewe dodoma vs wajir alaf tuone kama utatoka humuyes even bigger than dodoma....aren't those the modest houses "dreamhouses" you defend to the death that cover 80% of Daresalaam?
nakwambia jaribu uone we unafkiri ni ile dodoma ya 90s😀😀😀😀😀Reality check over here.....your dodoma could not even beat Thika.....a satellite of Nairobi metro
Dodoma vs Thika
nani akuletee wewe hujui kazi ya google utaolewa unapenda kuletewa tuleta aerial view ya any of those other slums apart from kibera
Kenya falls in ‘Failed State Index’ rankingsKukataa kwenu ni shida yako.
mawazo yake kama yalivo mawazo yako na hii yote kwasababu akili zenu hazijatoka nje ya kenya ndio maana munakua wajinga sana😀😀😀😀😀😀Lol.......the reality
View attachment 719121
Hivi mnajua matumizi ya aerial views kweli?, huwezi kupata details za eneo zitakazokuwezesha kujua kama ni slums kwa kutumia aeriala views, kujua kwamba ni slums ni lazima utumie horizontal and oblique views.leta aerial view ya any of those other slums apart from kibera
Hivyo vitu ulivyovitaja hapo sijui kama amekuelewa.Hivi mnajua matumizi ya aerial views kweli?, huwezi kupata details za eneo zitakazokuwezesha kujua kama ni slums kwa kutumia aeriala views, kujua kwamba ni slums ni lazima utumie horizontal and oblique views.
Serikali ipo kwenye mchakato (process) wa kuhamia Dodoma.
Kenya Outside Nairobi is Hell.
nairobi au msa ikifkia level hii munitag