Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kichaa peke yake ndiye anayekimbilia kushindanisha secondary needs na kuacha basic needs, ninyi ni watu wa kukimbilia vitu vya kipuuzi wakati mambo muhimu kama chakula, malazi na makazi, maji safi na salama, Afya, ajira na security tumewaacha mbali sana, mnakimbilia malls na private cars, hiyo ndiyo sababu ninyi ni failed state.
 
Povu ruksaaaa.
 
Unamiliki gari gani au mangap

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
mi huwa napenda tu vile hessy ana deal na majobless mnao fanya ukora hapo nairobi.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 718611
Just be honest, Tanzania events online ama kwa Tv hazina mvuto ndio maana lazima mfollow Kenyan stories and News.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…