Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moja kisukuma usikilete hapa ni ebu sio embu,pili mkenya hawezi akaiba Tanzania, nyie maskini mtaibiwa nini ?? tatu that was stage managed to tarnish our good county's reputation.
Be serious man, Kenya ina good reputation? To who?
8/10 Kenyans are potential thieves, a randomised study revealed.
 
tunawajua hao........kando ya Morocco square ni maajabu.......si wangeita hata Tanzania square
Wewe shida yako nini?
Huku tz tuna mitaa na barabara kibao kama Jomo Kenyatta drive, Nelson Mandela road, Kwame Nkrumah street, Patrice Lumumba street, Kwame Nkrumah street, Obama street, Victor Wanyama street, Samora machel stadium, Kikuyu street, Sekou Toure Hospital Mwanza, Frelimo ward, N.k
We are just loving people, we appreciated the others, Hatuko kama nyie watu wa hovyo.
 
morocco iko na 2 8 storeywd towers hahhahahhahahhahhahahhahhahahhahhah
Avic na Morocco hakuna tofauti, zaidi hii ya kwetu ni multiple, unaweza ukawa unakaa kwenye apartment kwenye tower mojawapo then ukawa unafanya kazi kwenye moja ya office tower mojawapo and ukafanya shopping kwenye mall hapohapo

Yaan all stuffs under one roof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…