Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Changing Goal posts.. Mvua ndiyo hii, Mlime sasa siyo baadae mlalamike njaa na kuanza kusumbua majirani zenu, then mkipewa chakula na kushiba mna anza "we are aggresive," "we have larger GDP" shenzy type
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Enda kwa gate ya umoja wa mataifa (United Nations) ndio utoe povu......reke nemwo
 
Huwaga wanasemaga wana ardhi ushago na wamejenga uko. Nairobi wanatafuta pesa tu. Mpaka yule Colloh mwizii akaweka picha ya ng'ombe mmoja akiwa kwenye kichaka [emoji13]

we don't have the Swahili slums in Nairobi.......
 
Yaani nilikuwa nafikiria hivyo hivyo, Mungu awarehemu kwa kweli maana umasikini halafu majanga kama haya siyo sawa kabisa.
watu wa kibera hawana wa kuwasemea.
wanapambana na hali yao wakiwa wapweke. napata huruma sana.mungu walinde watu wa kibera.
 
Huwaga wanasemaga wana ardhi ushago na wamejenga uko. Nairobi wanatafuta pesa tu. Mpaka yule Colloh mwizii akaweka picha ya ng'ombe mmoja akiwa kwenye kichaka [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
watu wa kibera hawana wa kuwasemea.
wanapambana na hali yao wakiwa wapweke. napata huruma sana.mungu walinde watu wa kibera.

don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
 
Wapi ushahidi????
 
Floods are natural calamities.....give us a break.
ofcos but what it worries us is flood condition around kibera and the poor people who living there. i feel so sorry for them. [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night

Hakuna anayefurahia shida ya mwingine hapa, watanzania hatuko hivyo.
 
ofcos but what it worries us is flood condition around kibera and the poor people who living there. i feel so sorry for them. [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
But usisahau leo vyoo vya kibera wanafuraha sana wameachia kila kitu mubashara
 
How can you be happy whe most of your time you focus on your neighbours...
 
don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
Vp mbona unatuaga mapema!! au keja imevuja inabidi ukinge ma ndoo pembeni kwa bed [emoji1]. Ila poleni sana wajameni, jay, mwasiti, pingili nywee n.k bila shaka mnapambana na hali zenu
 
don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
umeandika kwa majonzi sana... basi samahani bro sitorudia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…