Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Diamond ni Kenya ilimpeleka International na Wimbo wake wa wingolo, Alikiba hushinda mombasa na Joho, Venessa kama haujui Amesomea university Kenya..

Currently most of them make more shows in Kenya than Tz, maskini hata hamuwezi waaford sahii kuwalipa.
 
Boss wacha wivu, the show is aprivate affair invites only how do you expect them to announce..
 
Mtabaki kushabikia mambo mazuri ya nchi zingine wakati mumeshindwa hata kupunguza ukabila na njaa, punde mtaanza kusema SGR ya Tanzania imekuwa designed Kenya, kwasababu tu is the best in Africa
 
form two leaver ndio role model wao...
wasanii kama sauti sol wenye wamesoma ndio nchi inafaa kujivunia...jamaa ata kujieleza vizuri hajui...sikiza interviews zake
 
Huna akili wewe Diamond alianza kujulikana Internationally na Wimbo wake Remix aliomshirikisha Davido- my number one hana nyimbo inayoitwa wingolo, na kuhusu Vanessa mdee alisomea Catholic university of east Africa na ni kawaida kwa universities maana hata viongozi wakubwa Wa Africa wamesomea UDSM Tanzania, Huyo Alikiba kushinda huko sio kesi maana Prezzo, Huddah na wengine kibao wamenunua na nyumba kabisa Tz na weekend zote wapo huku.. Wasanii wote hao Alikiba Diamond na wengine wote wanafanya shoo nyingi tu Tz juzi tu walikua kwenye FIESTA na wamezunguka nchi nzima ngombe wewe.. Kenya music is Trash, I can't waste my time listening to Kenya's Music, Diamond amekuja huko pia kusajili Wanamziki watakao Ingia kwenye label yake and boosting up your shityy music
 
form two leaver ndio role model wao...
wasanii kama sauti sol wenye wamesoma ndio nchi inafaa kujivunia...jamaa ata kujieleza vizuri hajui...sikiza interviews zake

kuna success nyingi maishani yeye hakufanikiwa kwenye elimu lakini amefanikiwa kwenye biashara ya music na mwingine anaweza kuwa successful kwenye elimu na akashidwa kwenye mambo mengine yote. ndio ni role model wetu kwani ametoka kutokuwa na kitu chochote wala elimu hadi kufikia hapo alipo kwa juhudi zake. sasa kwanini asiwe role model wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…