Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

stupid danganyikan. Wakati kenya ikipata uhuru wewe na nyanyako ndo mlitupagania vita?
 
ndio team east africa isiokua na mafanikio africa masharikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haina ofisi haina uwanja gari yenyewe tia maji tia majiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Isiyokua na mafanikio? Wacha nikuelimishe kigodo nwarabu wa tandale, Gor Mahia has won the Kenyan premier league more than any other team. It is the only east african team to ever win a continental title. Hii itakuwa ni ndoto ya mchana kwa yanga na simba. At the moment, Gor mahia is playing in the African Champions league wakati Simba yenu inacheza confederations cup. Lastly, Gor mahia is the only team in this region to ever play a friendly game with an English top tier team; they played Everton Mid last year even though they lost the match. Niendelee au umetosheka?
 

Sasa hayo maendeleo mbona hawayatumii kujiendeleza kama kuboresha vyoo na kuboresha usafiri na makao makuu yao.
 
Kuhusu kucheza na timu ya EPL nenda kajipange upya. Simba imeshafanya hivyo kabla hujazaliwa.
 
Kiuchumi, kimaendeleo, kielimu, kisiasa...kila kitu
uchumi upi wakupika auπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
maendeleo kama yapi slums na unemployments
elimu ipi ya kupasua wagonjwa vichwa ambao hawahusikuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
siasa zipi za ukabila au?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ikwapi ofisi tujue ni team iko vzr inafanya maendeleo katika nyanja zote heheh bus lenyewe ndio lile yani muna umaskini nyie sijapata kuonaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
team inamiaka zaidi ya 50 haina hata ofisi wala banda la choo, haina hata uwanja wakusingiziwa

revenue zinazoingizwa na team za tanzania nyinyi mutasubiri miaka 800 yani stands utd ni team ya juzi tu ila ina budget na maendeleo makubwa kuliko gor mahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…