Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo sababu Kenya ni failed state, lete ushahidi unaothibitisha kwamba Nyerere alisema Kenya ni Ulaya, alichosema Nyerere ni kwamba "Kenya is a man eat man society", Nyerere hawezi kusifia nchi mbovu ya Kibepari ambapo wachache wanamiliki uchumi wote na walio wengi wanaishi katika umasikini wa kutumwa, soma kitabu cha mkenya Ngugi wa Thiong'o.

Hayo maendeleo unayosema Kenya imeizidi Tanzania mbona huyataji unabaki kusema ni maendeleo ya kwenye ndoto pekee. Sisi huku maendeleo ni pale watu wakipata chakula, maji, shelter, good health services, employment, security and freedom, katika yote hayo Tanzania imeizidi Kenya tena kwa mbali sana, wewe taja hayo unayoita maendeleo una maanisha nini?
 
That is a typical Tanzanian speaking...they are alqays full of denial. Sasa leo unataka kukana kwamba hakuna mahali Nyerere wenu alisema mkitaka kuenda ulaya mje tu Nairobi? Nway, that's past tense now. Kw hizo vitu zote ulizotaja, hebu niletee source inyadhibitisha kwamba watanzania wanapata maji safi ta kunywa kuliko wakenya, kwamba wako na chakula kingi kuliko Kenya, kwamba mko na huduma bora za afya kushinda Kenya, Kwamba Tanzanians enjoy good security compared to Kenyans etc etc. Kama huwezi dhibitisha hayo, basi claims zako zitabaki kuwa ndoto za hekaya
 
Nimesema Kenya itaendelea kuwa katika kundi la failed state kutokana na akili mbovu kama wewe, mimi ndiye niliyeomba ushahidi unaoonyesha kwamba Nyerere alisema Kenya ni Ulaya au kwamba ukitaka kwenda Ulaya nenda Nairobi, bado hujaleta huo ushaidi badala yake wewe ndiyo unaniambia mimi nikupe ushahidi.

Kwanza wewe thibitisha yale yote uliyosema kwamba Kenya inaizidi Tanzania katika maendeleo. Kwanza nimekuambia utaji ni mambo gani kwako ni maendeleo, mimi nimekutajia mambo ambayo tunayaona ni maendeleo, wewe hujataja hata moja, badala yake unarudisha swali kwangu. That is purely describes failed state way of thinking.
 
Hasira zako peleka tandale kijana mdogo. Kama Nyerere alifeli, Mwinyi akafeli, Mkapa akfuata mtindo huo huo na hata Kikweti kufeli zaidi sasa magufuli ndo atakuwa mkombozi wenu. Ndugu yangu, Magu can lay the foundation for subsequent leaders to devslip tanzania na kuitoa ldc. Na hii itachukua sio chini ya miaka ushurini. so usidhani magu atawakomboa hii time ya utawala wake. Pili, usijilinganishe na China. Do you know how old China is? Tanzania is barely 55 years old. You need to revisit your history books
 
Continue yapping for all I care. As long as we are ahead of you in development, I don't really care what you say here on jf if you can't prove them. You are just like a toothless dog barking
 
Mnatetea wenzenu wa kwenye social media!! halafu mnajiona very brave..!! Kwanini hizo nguvu msinge zitumia ku tetea wakina mama wa Nairobi wanao bakwa hosp baada ya kujifungua. Mnakua majasili nyuma ya keyboards tu!! no wonder you never got your hands dirty during Africa Independence struggle. Mlikaa mkitizama Wanaume wakipambana uku nyinyi mnaramba miguu ya mzungu.
 
Mmetushinda nn sasa ??😀😀😀
 
Kenyans let as leave this channel coz we argue with monkeys....,. Let the monkey themself argue with LDC like Somalia Uganda.etc............till they behave....
I'm told this is the longest sgr bridge in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…