Hawa jamaa wanapata mafukiro lakini tukiwahoji kuhusu njaa wanasingizia ukame
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe hiyo ni flyover, sasa uko chini kukoje... iko kicheko chako nikajikuta na mm nacheka uhahahahauhahahaha floods juu ya flyover hii kali aiseππ
Bro tunakuheshimu sana, Tafadhali tengua kauli yako.naona maumivu ya wakanda inawauma watu....nilidhani ni mwenzenu ndiye alikuwa akisema sijui Nyerere ni Black pantherπππππππππππyaani huyu mshamba unaweza mfananisha na Black panther, the super hero?πππππjamaa analainisha ndevu kana kwamba ni hitlerπππkamshamba kamekonda kanafananishwa na super hero..huyu pengine mfananishe na spidermanπππ
why? Nyerere sa ndio nani banaππππkamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...πππNo no no haya maneno hapana. .
Sometimes uwe unanyamaza
Nop...my hero is Mandela alone...not this guy...Bro tunakuheshimu sana, Tafadhali tengua kauli yako.
Copy to Moderator
Pride of Africa
Omba radhi na Tengua hiyo kauli ,why? Nyerere sa ndio nani banaππππkamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...πππ
Buda utachanganya wageni hapa.......waanze kuona Tz sio LDC na hio picha ni ya kenyaDodoma
hahaha lolBuda utachanganya wageni hapa.......waanze kuona Tz sio LDC na hio picha ni ya kenya
Jay una nin lakini...!?why? Nyerere sa ndio nani banaππππkamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...πππ
Hivi ni nani aliyeifanya Kenya kuwa na corruptio,tribalism, insecurity, slums, hunger na police killings hadi ikawa failed state?why? Nyerere sa ndio nani banaππππkamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...πππ
Tunajua mnamchukia huyu jamaa baada ya kuwakazia kwenye mt kilimanjaro.but inchi kubwa kana SA kutambua mchango wake inafanya tudharau wakenya na mitazamo yenu juu yake.why? Nyerere sa ndio nani banaππππkamshamba ka bongo...huyo jamaa ndio alichangia umaskini wenu tz by the way through ujamaa system...tz si nchi inafaa kuwa LDC leo...πππ