Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Btw Iyo nyumba itafanya skyline yenu ionekane as if mna nyumba moja...nyingine zitamezwa vibaya...tutaiita nai one tower

Note;Sisi watz bado hatuna uhakika if pinaccle is real project Au ndio Yule tembo mweupe mkubwa ...jipeni shughuli
hahahaha....sasa unasema ikiisha itakuwa one tower kisha unaji contradict na kusema ni tembo mweupe...which one is it? a lonely tower or a white elephant? alafu kama hujajua, Montave inajengwa hapo karibu na Pinnacle...infact huwezi ukatembea dakika 10 kabla hujafika kwa Montave site so unaposema itakuwa pekee yake sijui una maanisha nn bro sababu majengo mengine kama 7 hivi yapo hapo including Btiram, UAP, 88 Tower, Prism na Montave
 
hehe zikwapi pinnacle na montave broπŸ˜€πŸ˜€
show me renders plzπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
hehe zikwapi pinnacle na montave broπŸ˜€πŸ˜€
show me renders plzπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
hehe...he who laughs last laughs best....nenda google katafte maana ya msemo huoπŸ˜€πŸ˜€
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
 
just google. it only takes a few seconds
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
hahahahaha vyuma vimkaza sana naona.... sasa leo nimejua kuwa huwa mna wivu sana nyi wabongo....mmeanza kubadilisha mwenendo wenu na kusema kuwa Pinnacle itakuwa pekee yake pale upperhill ila juzi mlikuwa mkiimba renders na white elephant...wivu mbaya sana bro
map ya construction sites ndio hii uone jinsi majengo haya yako karibu....Pinnacle will have alot of company..yes it will look very tall as compared to the others but it wont be alone like you are trying to say
 
ziko wapi sasa broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Niliuliza swali Nai nyumba ngap za floor30+ ziko,na UC he ni ngap cause haikujibiwa...
Hakuna mashaka kuhusu izo montave na pinako sisi tunataka tuone maendeleo ya izo nyumba wakianza tu kupandisha ground floor nishtue
wanaogopa kusema hazivuki 2πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
heheh hasira bro haifai plzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
usichoke kutuonesha renders
hahahah sawa bro..time will tellπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€but I know deep down mnaumwa sana...mnajua kuwa majengo yale yanajengwa ila maumivu yamezidi inabidi mziite renders na white elephant...mwenzako ashaanza kuleta excuse ya tatu akisema kuwa Pinnacle itakuwa a lonely tower.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..jealousy is very bad bro
 
1.MZIZIMA TOWER 170M 37FLR
2.PPF TOWER 165M 37FLR
3.TPA TOWER 157M 40FLR
4,5..PSPF TWIN TOWERS 153M 35FLR EACH
6.MZIZIMA 2..145M 33FLR
7,8.MNF TOWER TWIN TOWERS 145M 30FLR EACH
9.RITA TOWER 30FLR
10.MILLENIUM TOWER 30FLR
 
ukitaka kujua lonely tower inakaaje nenda Morocco skyscrapercity kuna ujenzi wa 2nd tallest building kule inaendelea. 250 mtres...jngo liko jangwani pekee yakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€very lonely...
usidanganywe na picha za miti...hapo ni jangwani hakuna hata jengo moja eneo hilo..hakuna nyasi, hakuna miti hakuna barabara...sijui hawa jamaa wanatumia akili kivipi kujenga jengo hili mbali na city centre...pengine ni bei ya ardhi ila bado itakuwa weird
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…